@OmaryMwaimu@Octavianlasway Kama ndo hivyo, basi wataalamu wa zao hili watusaidie kwa kutupatia elimu na maarifa sahihi ili mashamba yetu yasiendelee kuwa misitu bali mashamba
Kama Rais @SuluhuSamia mpaka sasa hajamtengua Geoffrey Mwambe kuwa Waziri wa Uwekezaji baada ya kuliongopea taifa na kudhalilisha Ofisi ya Raisi ya Awamu ya 4,5 na 6 sisi wananchi tueleweje.?
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
A boy will copy his father’s image. A girl will see men through her father’s image. From her father, a girl look for validation. From observing her father, or male figures in her life, a girl draw a line of what not to accept from men. Fathers with daughers: Kobe is inspirational