@HKigwangalla Daaah inaleta raha mawaziri wastaafu na wabunge kujibu hoja kwa hoja mkiwa huku nje lakini mkiingia kwenye V8 haya huwa hamyaoni mnaona kila anayesekosoa serikali n mpinzani na anayesifia ni mzalendo, mwisho wa siku taifa linaangamia tu. Badilikeni.
Roho za wote waliouawa katika zile siku tano za majonzi, kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 zipumzike kwa amani ya milele.
Bwana azifariji familia zinazoomboleza, hasa zile ambazo bado zinawatafuta wapendwa wao waliopotea. Awaponye waliojeruhiwa na kuwaimarisha wote wanaoendelea kubeba uchungu wa siku zile za maafa.
Ee Bwana, uwajalie pumziko la milele, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani. Amina.
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Jopo la kwanza kwenye Jukwaa la Demokrasia Tanzania litakalofanyika tarehe 28 Agosti 2026 makao makuu ya TLS, Wakili House jijini Dar es Salaam.
Tutakua mubashara kupitia YouTube chaneli ya Wakili TV.
#HabariPicha
Baadhi ya mawakili kutoka TLS na wadau mbalimbali wakishiriki michezo kwenye Bonanza lililoandaliwa na Mahakama Kuu ya Tanzania. Bonanza hilo limefanyika leo Agosti 22, 2026 katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kyela Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa amesema hayo wakati akifanya mahojiano maalum na Wakili TV kwenye kipindi cha Katiba Kitaa.
Tembelea Youtube chaneli ya Wakili TV kutazama mahojiano kamili.
@UKinTanzania@usembassytz@EUinTZ@SwedeninTZ
Niwape pole wahadhiri wote wa vyuoni na ni wakati wa kuiambia serikali iache vyuo vifanye kazi yake ya kitaaluma. Nyie ndiyo watu wa kutupa tafiti tumefikaje hapa" Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS.
@AnnaTibaijuka Pamoja na nyongeza ya ufafanuzi wa Prof Tibaijuka, nami niongeze kuwa kesi
Ile imeishapoteza ujinai na kuvaa usiasa. Walipoanza kuzungumza naye kwa siri kumpa masharti ya kumwachia, walibadili mashtaka kutoka jinai kuwa ya kisiasa. Yakiingia huku, kila mwenye kisu kikali anajadil
WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali.
Mahakama zina wajibu wa kutoa maamuzi kwa uhuru, bila kuingiliwa na mtu yeyote hata Rais. Huo ni msingi wa utawala wa sheria na lazima uheshimiwe.
LAKINI NI SERIKALI KUPITIA VYOMBO VYAKE NDIYO HUANZISHA NA KUENDESHA MASHITAKA YA JINAI. Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), mamlaka ya mashtaka yanaweza kupitia upya uamuzi wa kuendelea na shauri pale yanapoona kuwa maslahi ya umma au haki yanahitaji hivyo. Kwa hiyo, kumshauri mhe Rais ahimize Serikali yake kupitia upya uamuzi wa kuendelea na mashitaka ya jinai ambayo yanachukua muda mrefu au kuleta sintofahamu katika taifa si sawa na kuiamuru Mahakama iamue kwa namna fulani. Kusema vinginevyo ni kupotosha umma. Kuna wanaofanya hivyo kwa kutokujua. Kuna wanaofanya hivyo kwa hila ovu kama propaganda tu ya upotoshaji. Tusichoke kuelimishana.
Hata taarifa ya hivi karibuni ya Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) haikuitaka Mahakama imwachie huru Mheshimiwa Lissu. Badala yake, ilishauri suala hilo "lipatiwe ufumbuzi kupitia njia za kisiasa na kisheria." Hii inaonyesha kwamba hata katika demokrasia zilizoimarika, KUNA WAKATI SULUHISHO LA MIGOGORO YA KISIASA HUPATIKANA KWA KUTUMIA TARATIBU HALALI ZA KISHERIA PAMOJA NA BUSARA ZA KISIASA. Mimi ninaamini athari za kuendelea kumshikilia Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani kwa shitaka ambalo kwa mwaka mzima sasa halijakamilika mahakamani haisaidii taifa hili hata kidogo.
Mhe Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira (MTANI) kweli tulidiscuss. Kwa kuwa umeweka wazi maongezi yetu basi uniruhusu na mimi niongezee ufafanuzi for the record. Kwanza “tulikubaliana kutokubaliana”. Rai yangu kwa mhe Rais siyo shinikizo kwake wala kuingilia Mahakama. Silazimishi chochote kwani ninajua sina mamlaka hayo. Ni ushauri na ombi kwa uongozi wa Taifa kwa ujumla wake kwamba swala la Lissu na wengine wa aina hiyo likamilike. Serikali ndiyo inashitaki huko Mahakamani. Ikiondoa shauri, kama ilivyofanya mara nyingi huko nyuma kwa busara, tutapiga hatua ya mengine yanayotusubiri kuponya majeraha kwa kutenda haki, kuridhiana na kuweza kuandika Katiba Mpya katika hali ya kuaminiana. Mamlaka ya kuondoa shauri mahakamani iko chini ya mhe Rais na Serikali yake kupitia ofisi ya DPP. Ni kwa kutambua hilo ninajielekeza moja kwa moja kwa Mhe Rais. Na ninaendelea kufanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa. The stakes my MTANI are too high. The difference is that some can see the danger, others cannot. The burden of knowledge.
Tundu tushampa Nondo zote zinazotakiwa kesho pale mahakama ya Rufaa!!
Kesho ni siku nyingine ya kiwanda cha elimu kutoka shule kuu ya sheria!! Tujiandae kupata burudani.
Kesho ni mwendo wa kuweka vyuma tu, Sisi hatuchekeshi kwenye maswala yanayohusu uhai na haki za watu.
Pathetic lies. What you said in Kiswahili was translated accurately in English. No distortion or misinformation. You are scared of your cheap bravado. A Murderous regime must be held accountable and that is not distortion. International human rights law accords zero defence to mass killings as it is against the concept of erga omnes that all nations must uphold.
When you kill your own people it is not permissible to claim sovereignty as you have breached the rights that you were supposed to defend. Consequently other countries are supposed to step in and hold you accountable. And that is the rest of the world, including the European Union and the United States of America, are doing against this murderous regime in Tanzania.
well, this is funny cuz vibaka wa madaraka kila siku wanatufokea tuwe wazalendo. sasa waving a national flag siyo uzalendo? na mimi nikiimba national anthem wakati nafanya mapenzi kwenye kitanda chenye national flag kama shuka watanisaka? 😆 nchi ina heka heka hii:
WATER SPILLED.
Public Service ethics demand honesty and accountability. It is, therefore, rather astonishing to issue such an extensive public statement without clearly identifying what was allegedly misrepresented, and in what manner the alleged distortion occurred.
From a diplomatic and governance perspective, such an approach merely perpetuates public disdain and undermines confidence.
If the remarks were made inadvertently or without due caution, it would have been more prudent and honourable to acknowledge that they were uttered informally, did not constitute part of the official position, and ought to be withdrawn rather than attributing the matter to so called “misrepresentation.”
Since when are Parliamentary debates clarified through backdoor narratives and informal corridors, when the proceedings themselves were broadcasted live before the nation?
Leaders desist from political manoeuvring aimed at concealing institutional failures merely to shield those responsible from accountability.
TRUTH, JUSTICE, AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY FOUNDATIONS UPON WHICH THE NATION CAN HEAL.
BAK Mwabukusi.