Barcelona 16 Shots
Atletico 10 Shots
Barcelona 9 Shots on target
Atletico 7 Shorts on target
Barca wamemiliki mpira 68%
Atl wamemiliki boli 32%
Barca wamepiga pasi 680
Atl wamepiga Pass 323.
Good Game🙌
Uongo mkubwa kuhusu Mafuta
Jinsi ubinadamu ulivyofungwa na hadithi ya uongo kwa zaidi ya karne moja, dunia imefungwa na simulizi fulani za ajabu.
Simulizi iliyoundwa kwa ustadi mkubwa mno na kuenezwa kwa nguvu kiasi kwamba ikawa kama ukweli wenyewe.
President Trump jokes about running for president in Venezuela after his term ends in the United States:
"I'm polling higher than anybody has ever polled in Venezuela."
"After I'm finished with this, I can go to Venezuela. I will quickly learn Spanish. It won't take too long... I'm going to run for president."
Jana tulikuwa na mazungumzo kuhusu Siku ya historia ya VALANTINE DAY.
Mke wangu aliniuliza, Hivi Godbless , ungependa Brilliant (Binti yetu) aolewe na mume mwenye tabia kama zako ?
Nikajibu faster , aolewe na mtu kama Yesu !!
Akacheka 😂😂😂Bro, acha kurukaruka, Yesu hakuoa!!’ Nakuuliza wewe !!
Mbona jibu rahisi sana ?
Nikajibu, nahitaji marekebisho kidogo na maombi kwa sasa kwanza!!
Akasema, Awake your spirit Godbless, ikiwa wewe ni baba na hauwezi ku recommend mtoto wako aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako basi iko shida!! Bahati nzuri wakati stori zinaendela , Bon Yai alipiga simu , nikaenda pembeni nikasema naona kuna simu ya kikao, nikawa nimepita hivii , nikamwambia Ney , unajua Lissu kanyimwa chakula huku nikiwa nimekunja uso !! Ney , hawa CCM ni sadist sana!! Nikajiongelesha !!
Okay !! Sasa na wewe mwanaume mwenzangu nakuuliza kama nilivyo ulizwa? Je , ungependa binti yako aolewe na jamaa mwenye tabia kama zako ?
Kama jibu ni hapana !! Badilika !! Tubadilike!!
Unajua sisi wanaume tunapenda sana kulaumu wanawake kwa kuchagua mwanaume asiye sahihi, lakini kamwe hatumlaumu mwanaume aliyeficha utu wake wa kweli na kujifanya mtu mwingine ili ampate mwanamke mwema. Hatari kubwa sana hii.
Nawatakia Siku Njema ya Wapendanao.
Katika ulimwengu wa soka, sekunde moja ni umri mrefu unaoweza kubadili hatima ya urafiki na uadui.
Video hii inatufunulia ukweli mchungu na mtamu wa mchezo huu wa hisia; pale Jermain Defoe na Gilberto walipokabiliana uso kwa uso, miili ikisukumana na maneno makali yakirushwa 👇
@elonmusk previously reported he was buying @ManUtd I thought of how he would change the Club's name to X united😂
Mind you, This craze trillionaire wants people shift to Mars in the future, If Old Traford moved to Mars, we'll you be able to on-board aliens jet? 😂
Hebu niambie...
Ingewezekana vipi mchumba wake kufanya mauaji muda mfupi tu tangu amuache kazini
Ndembo na Nse!
Tuliza boli!
Tuanzie kwa Monica
Yes!
Monica the victim
I agree that Chelsea lost 2-3 against Arsenal at home but no doubt Liam's coaching capacity has revealed, for instance, Ganacho sub and so and so: Hopping that our squad are still in minor maintenances under him. Good Try Blues🙏
I agree that Chelsea lost 2-3 against Arsenal at home but no doubt Liam's coaching capacity have revealed, for instance, Ganacho sub and so and so: Hopping that our squad are still in minor maintenances under him. Good Try Blues🙏
Mitambo ya kutengenezea Mitambo inayotengeneza Mitambo na vifaa viwandani ilitengenezwa na mitambo gani?
Na hiyo mitambo ilitengenezwa na mitambo gani, na hiyo mitambo ilitengenezwa na nini....
Trump na Marekani wametuonyesha kua hakuna haja ya kua na Haki za binadamu, hakuna haja ya kufuata sheria zozote, hakuna haja ya Umoja wa Mataifa wala umuhimu wa mahakama za kimataifa✅
Trump na Marekani wametuonyesha kua hakuna haja ya kua na Haki za binadamu, hakuna haja ya kufuata sheria zozote, hakuna haja ya Umoja wa Mataifa wala umuhimu wa mahakama za kimataifa✅
Vipi? Ulishawahi kuachwa kutokana na upole, unyenyekevu au uaminifu.
Mke wa Mchezaji wa zamani wa AC Milan na Brazil, Ricardo Izecson dos Santos Leite "Kaka" ambaye ni mwanamitindo aitwaye Caroline Celico ilisemekana alitalikiana na Kaka kwasababu ya kua mkamilifu sana🙌