Karibu Young Africans SC Kocha Mkuu MANQOBA MNGQITHI
๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ฐ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA ๐
Kama huyu ni Mimi basi Mungu aingilie kati, huyu sio Mimi, magonjwa ndo yanavyo nipeleka hivyo ok Sawa.
Wanasemaga usiruhusu nafasi ya kukata tamaa nami siwezi kukata tamaa mpaka sekunde ya mwisho ya uhai wangu. Ila naomba Mungu aninue upia๐ @mrunguj9
Dubai haina Income Tax, Ila Tanzania ina utitiri wa kodi kuanzia Tozo za Mihamala mpaka Ushuru wa kuingia Stendi ila bado inanuka umasikini balaa.
Hizo kodi zinaendaga wapi? Kwani.
Watanzania acheni usenge fatilieni hatima ya nchi yenu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.