Leo Nimeambiwa Good Morning Babe Uwe Na Siku Njema My Love, Take Care
Sahii Nipo Hapa Stationary Na Print Sreenshot Ya SMS niweke na lamination Nibandike Ukutani..๐
Ama kweli Love is beautiful thing ๐๐
Pundamilia ni mzuri kuliko punda, lakini! binadamu akachagua kuishi na punda na akamuacha pundamilia porini ila binadamu huyohuyo anaamua kutoa pesa kwenda porini kutazama uzuri wa pundamilia..!๐
๐ Updates za Bei za Mazao (Moja kwa Moja kutoka kwa Mkulima)
๐ธ Maharage ya njano โ gunia la kilo 100.8 linauzwa kwa Shilingi 150,000 (laki moja na nusu).
๐ธ Maharage mekundu โ gunia la kilo 100.10 linauzwa kwa Shilingi 110,000 (laki moja na elfu kumi).
๐ธ Mahindi โ gunia la kilo 115.50 linauzwa kwa Shilingi 40,000 (elfu arobaini).
๐ธ Mpunga โ gunia la debe saba linauzwa kwa Shilingi 80,000 (elfu themanini).
Hizi ni bei za sasa, moja kwa moja kutoka kwa mkulima.
@SaumuYanga@officielsalome Yes huo ndio utaratibu wanafamilia wapike chakula chao au majirani wawapelekee chakula,
haiwezekani mtu anamajonzi ya kufiwa alafu afikirie namna ya kuulisha umati unaokuja msibani, haipendezi kabisa
Kuna hali inaitwa Invisible War.
Ni pale kila mtu anadhani uko sawa.
Unacheka.
Unaongea.
Unaonekana kawaida.
Lakini ndani unapigana vita vikubwa sana.
Vita vya hofu.
Vita vya mashaka.
Vita vya future yako.
Na hakuna anayejua isipokuwa Mungu.
Good Morning..
@SaumuYanga@officielsalome Wanatakiwa wasipike kabisa nyie ndio mnatakiwa muwapelekee chakula wafiwa sio wao wawalishe nyie
Msiende kuwaongezea gharama kwenye matatizo msiba unapoisha mnawaachia madeni ambayo yanazidi kuwaumiza
Kuna sababu kuu mbili kama siyo tatu za kununua aina hii ya tenga hapa shambani kwetu:
1. Kuongeza idadi ya mayai na vifaranga.
Pindi tunapo watenga vifaranga na mama zao inakuwa rahisi kwa kuku kuanza kutaga haraka hivyo kuongeza idadi ya vifaranga.