@ShooPraygod Maresca aliweza hata kupata draw kwa Arsenal.. Je huyu kacheza na Arsenal mechi ngapi? Na amefungwa mara ngapi? Unaona kabisa coach hata mbinu zozote akikutana na team yenye wafungaji wazuri
@ShooPraygod But Maresca hakuwa trophyless man....
Ila huyu unaona ana dalili zozote za kuchukua kikombe chochote plus ameshiriki mashindano yote?
In short He is a wrong coach to us...
Team haina morale wachezaji wanaruhusu magoal kila mechi...