@EvanceJosephat@Makaveli_255 Ukifanya kwa other banks ndo unaweza ukalia zaidi. I think kwenye rate huwa wanaambatanisha na other hiden transaction costs
@eastafricatv Kirahisi kabisi waziri uambiwe stories hizo na wewe ukubaliane bila ushahidi. Kwanini hizo taarifa zinatolewa mpaka wakati wa site visit?
@JonMrema Uchaguzi umetamatika jana, kazi kubwa iliyopo ni mshirikiane kurejesha imani na mshikamano. Propaganda na kampeni na majibizano kwa media hazitosaidia taasisi zaidi ya kuonyesha utoto kwenye siasa. Mjifunze kuheshimu viongozi wenu walichaguliwa kidemokrasia, ndo ukomavu wenyewe.