574.8KM kwa 1hr ๐ฅ
Alstom wanaadhimisha miaka 17 ya kuvunja record ya duniani ya treni za mwendo kasi za magurudumu ya TGV.
Dar es Salaam TO Dodoma Dakika Ngapi Wakuu ๐๐๐ฅ
@Mkunga_Og Nimeona watu wanabisha swala la uume kuvunjia, wengine wakidai kwamba hauna mfupa wengine wakisema, post iliyo wekwa hapo ni upotoshaji.
Muwe mnapenda kufanya Research kabla ya kubisha au kuleta ujuwaji for nothing. Mmepewa elimu mnabisha kwa vihoja ๐
@Mackavieli@Mkunga_Og@Adventure_36 Soma kilicho andikwa kuna sehemu kasema bacteria hao "wakijikusanya" wewe huma tofauti nayule anaye tetea kuzama chumvini au mazama chumvuni ni wewe mwenyewe.
@Mackavieli@Mkunga_Og@Adventure_36 mbona umezunguka ukaleta ujuwaji ila ukarudi kule kupe kwenye point ya muandishi. ishu ni kusababisha madhara, Mbwa.. Ulicho fanya hapo ni kujitia ujuwaji ambao hata muandishi anayajuwa.