@INFLUENCERjr Acess ya kusikiliza mziki kwa sasa ni kubwa sana mtu haitaji kusikiliza tena redio sema Anord kayanda alikuwa mnoma sana jamaa alikuwa anategenenza stori kutokana na count down
@zoetjesheeftX Deep down wanawake hawapendani anachojaribu kufanya ni kutegenenza kundi la wanawake wanaobehave kama yeye ili wakati wa majuto asiwe peke yake.
@Cowwbama Shida kubwa na vijana tunatoka kwenye familia ambazo tayari tuko limited ukiwaza beyond unaonekana kama tapeli ama mwizi na kuna cycle ukiwa nayo unaanza kuwaza mabilioni