Uzi : PATA ELIMU KIDOGO KUHUSU NMB & CRDB MAKATO🇹🇿
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato...👇
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndan ya benk (Over the counter)?
b) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya...
CHAZO CHA VITA VINAVYO ENDELEA UKRAINE.(Somewhere in Eastern Europe)
Wengi wanajiuliza why Urusi avamie Ukraine,bila kujiuliza,kuogopa matokeo ya uvamizi kiuchumi.why NATO anajishauri kuingia Ukraine km wanavyo fanya kwny mizozo mingine ya Ulaya.Picha inaanza kaa kwa kutulia =>
VITA VYA KIMTANDAO KATI YA URUSI NA UKRAINE (CYBER WARFARE)
Baada ya kuripotiwa kupatikana kwa kirusi kinachofuta data zote kwenye mifumo ya kopyuta (Wiper) katika shambulizi la hivi karibuni, serikali ya Ukraine inasema "Shambulizi hili ni la kiwango cha tofauti kabisa"
UZI👇
@mahleeck@Sirjeff_D Shiba Inu iko poa sana , kwa 50$ dollars wapata more 1M+ coins ikipanda pia waeza iuza na ukapata faida nzuri kwa sababu una coin nyingii
MATATIZO YA MARA KWA MARA KWENYE ANDROID TVS(Televisions)NA NAMNA YA KUYATATUA.
Cc @EngCostantine 🦅
Kama tulivyo elezea kwenye nyuzi nyingi zilizopita ni android tv kua na uwezo wa ku support play-store na wakati huo smart haina uwezo huo ,
Matatizo ya android tv ni kama
🚨MUHIMU
Kama gari inagonga miguu ya mbele ukiingia rough road Possible reason ni vitu moja ya vifuatavyo vimeisha
Ball joints hizi zikichoka gari inagonga na ukichelewa zinaweza chomoka
Bushes za control arms/wishbone
Stabilizer link zikichoka pia zinagonga
#Hashtag Fun Fact Friday (FFF) leo tunauliza, ni muvi gani huchoki kuiangalia mara kwa mara?
JINSI YA KUCHANGIA MADA
1. Tuma Comment yako ukianza na #EatvFFF
2. Comment yako tutaruka nayo LIVE hewani saa 10:30 Jioni
Ijue Toyota Corrola Rumion aka Lunch Box...
.
Miaka ya nyuma kidogo watu wengi wametokea na wanaendelea kuziagiza/kuzinunua hizi gari kwa wingi...
.
Hivyo basi tumeona tuje na ABCD za hii gari kwa manufaa ya wanaotarajia kuzi agiza na wamiliki walionazo kwa sasa...
.
UZI
.
Zijue Plate Number za Magari na Maana zake..
.
Gari za watu binafsi na TZ 11 [Miguu]
.
Hizi ndo the most common number zinazoanzia T Kisha Number 3 Ikifuatiwa na herufi [T103AHE]..
.
Plate ikiwa ya njano inamaanisha ni kwa matumizi Binafsi kikiwa Cheupe ni matumizi ya Biashara..