Kama umekuwa ukihangaika kutafuta Mzabuni/Mtaalam wa kudumu katika ofisi yako kuhusu yafuatayo;
1. Website Design and Maintenance.
2. Kuifanya biashara yako ipatikane Google na mitandaoni (S.E.O na Social Media)
3. Android/iOS App Design.
4. Vifaa vya ofisini.
Njoo leo hapa.
Brela kuwa hacked na taarifa nyingi sana zimekuwa exposed (rekodi zaidi ya Million 10), ni moja ya alarm mbaya sana kwa serikali na tech ecosystem. Hii iwe kama wake up call kabla hatujapigwa na tukio lingine baya. Ni mda wa ku-invest kwenye Cyber research and Intelligence.
@AssertiveBro@gabyconscious@BarakaMaviatu@Makaveli_255 Ukweli ni kwamba hakuna anayejali maisha yako, So, pressure is not made outside, pressure hio ni wewe mwenyewe unajiwekea limits.
So get out, fight your battles confidently like you don't give a sh*t to anyone. La muhimu zaidi, uwe tayari kujifunza kila siku..
@BarakaMaviatu Inawezekana jamaa alivyosikia mabomu akawaambia tu hao 'wanae' kuwa wa-stand-dowm. Ni hatua bora zaidi kujitoa sadaka ili watu wako wasife.
Je, unaamini kwamba at some point kila mtu ni MSOMAJI wa vitabu (at least ameshasoma vitabu vitano in their life ambavyo vimemsaidia kuwa hivyo unavyomuona).
Just like the fact kwamba kila mtu at some point ni KINYOZI.π
@Positivenga1 Unaweza pia kutumia ID yako (hata kama ni alias) kwenda bank fulani, say NBC, na ukafungua offshore account katika Benki iliyopo India (ambayo haijawahi hata kufikiria kufungua tawi hapa Tz).
This is how the world works.
Hata hivyo, Sheria ya Utumishi wa Umma inawataka "viongozi" wote wa umma kusalimisha umiliki wao wote wa mali binafsi kabla ya Utumishi au pale anapohamishwa kituo cha kazi.
Swali ni je, Sheria hii imeshawahi kufanyiwa kazi?
Kama imeshawahi, ni kwa kiasi gani? Msimamizi nani?
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
@ezekiel_kamwaga Kipi kimekufanya udhani Tz ipo kwenye hatari ya kushambuliwa kijeshi?
Inaweza kuvamiwa na nani, kwa sababu zipi?
Hebu elaborate hapo tupate mwanga mkuu..
The Fact is Tanzania ni Nchi isiyofungamana na Upande wowote Duniani, meaning, we can take any side (West or East) or take them both, or find our own side.
But deep deep down in our DNA, Guys, Guys, Guys..
We are a Communist Country., take it or leave it.