🌍 Tourism Ambassador | Professional Safari Guide 🦁Founder of the Kwa Six Group.
Nature is my office; the wild is my home.
📩 DM for safari bookings & collabs.
Kama Una Mtaji alafu Huna Wazo La Biashara , Tembelea Hizi Wilaya 🫡
1.Chunya – Mkoa wa Mbeya.
2.Kahama – Mkoa wa Shinyanga
3.Mvomero – Mkoa wa Morogoro.
4.Monduli – Mkoa wa Arusha.
5.Bagamoyo – Mkoa wa Pwani.
6.Geita Mjini – Mkoa wa Geita.
7.Babati – Mkoa wa Manyara.
8.Rufiji – Mkoa wa Pwani.
9.Peramiho – Mkoa wa Ruvuma.
10.Chato – Mkoa wa Geita.
Kuna Wilaya Gani Nimesahau ?
Ukipata Muda:
1. Fuatilia Historia ya Wimbo wa Taifa wa China
- Nani aliutunga,
- Alikua katika mazingira gani,
- Kwanini aliutunga.
2. Fuatilia Maneno (Lyrics Word to Word)
- Wimbo una Maana gani
- Nini kilimfanya aandike yale maneno
- Linganisha Historia ya Wimbo na Maana yake.
Ile Ndio Spirit Wimbo wa Taifa unatakiwa kuwa,
China Mpaka leo wimbo wa Taifa ukipigwa Redioni kama mtoto akiwa analia ananyamaza yeye mwenyewe na anasimama kama alikua amekaa, Ukiisha wimbo ndipo aendelee Kulia.
China Mpaka Leo Bendela ikiwa inapandishwa, Na Wimbo wa taifa unapigwa, Shughuli zote zinasimama maeneo ya karibu.
Kwa Aiwa zenye feature ya kuwa na ARC ku support HDMI cable
Aiwa 500W - 340,000/=
Aiwa 800W - 390,000/=
Kwa Aiwa 500W inakuwa na Bar Moja & Base
Kwa Aiwa 800W, inakuwa na Speaker 2 ndefu, Bar Moja pamoja na Base.
Pamoja na Sound zingine Kali zipo dukani kwetu Kariakoo mtaa wa likoma na Masasi
0747625726
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
KUTOKA TANZANIA KWENDA KENYA
➠ Ndege roundtrip DAR-NBO = 1-to-1.5M
➠ Bus Roundtrip DAR-Nairobi= 180k-to-250k TZS
➠ Airbnb/day= 50k-to-400k
Bolt= kama bongo tu inategemea na eneo
➠ Matatu (daladala)= 1000+ kwa trip
➠ Kukodi gari private= 80k+
➠ Clubbing na ubichi =200k+
ZINGATIA: USALAMA, Nairobi haaminiwi mtu kila mtu ni SUSPECT.
KARIBU
Pamoja na majukumu, kuna namna hii twitter inapelea nisipokuwepo kwa watu wanaoniamini.
Hakuna anaewakumbusha wanaume na madogo janja humu yale ninayoyazungumziaga.
Yale nisemayo yanatokea sana mtaani mpaka kwa watu wangu wa karibu.
Sina budi kubalance hustle na kuwapa nondo.