Maliza mwaka kwa tabasamu na mafanikio!
Karibu @softfinancetz ujipatie mkopo wa biashara ongeza bidhaa, nunua vifaa vipya uwafikie wateja wengi zaidi.
Mikopo yetu inaanzia Laki 4 hadi Milioni 10.
📍 Makumbusho Stendi & Tandika
📞 0678 000 800 | 0679 000 900
#MpangoPes
“Na yeyote anayemtegemea Mwenyezi Mungu, basi Yeye humtosha.”
@softfinancetz inawatakia ibada njema, dua zenye kukubaliwa na baraka zisizo na kipimo.
Karibu tuwahudumie
#IjumaaKareem#MpangoPesa
Amsha ndoto.
Fufua biashara yako iwafikie wateja wengi zaidi.
Mkopo wetu unaanzia 400,000 mpaka 10M kwa masharti nafuu.
Tembelea ofisi zetu Makumbusho stendi na Tandika kujipatia.
Je, wajua
Kupanga malengo pamoja na mpenzi wako huongeza mshikamano, huleta uwajibikaji na huongeza kasi ya kuyatimiza.
Ukaribu wenu ni chachu ya mafanikio yenu ya kifedha na kimaisha.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je wajua
Hupaswi kuumiza kichwa kuhusu ada ya shule ya wanao kabisa.
@softfinancetz tuna mkopo binafsi unaokusaidia kumaliza bills zote na ukawa unalipia kidogo kidogo, karibu uchukue umalize madai yako.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je, wajua
Biashara yako inaweza kukua mara mbili zaidi hata kwa mtaji mdogo ulionao!
@Softfinancetz tunakupa elimu ya fedha na mkopo nafuu utakaoongeza faida na kukuza biashara yako.
Karibu uanze safari yako ya mafanikio leo!
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je, wajua
Ajira yako ni daraja la kuanzisha biashara na ukatimiza ndoto zako
Karibu @softfinancetz tukupatie mkopo wa wafanyakazi uanze safari ya mafanikio.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je wajua
unaweza kukamilisha ujenzi wa nyumba yako na kupunguza stress za kodi?
@Softfinancetz tuna mkopo binafsi kuanzia utakaokuwezesha kufikia ndoto yako ya kumiliki nyumba na ukalipia kidogo kidogo ukiwa na amani. #Mpangopesa#ElimikaWikiendi
Je, wajua
Kupitia mkopo wa kikundi, kila mshiriki hunufaika kwa biashara, elimu au maendeleo ya familia?
@Softfinancetz tunatoa mikopo ya vikundi ili kujenga msingi wa kipato endelevu.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je wajua
Ni rahisi kupata matibabu ukiwa umekwama au umeishiwa na fedha?
@softfinancetz tuna mkopo wa dharura utakusaidia kutatua changamoto yako na kuponya uhai wa ndugu yako.
Karibu ofisini kwetu kukamilisha taratibu.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je, wajua
Taarifa sahihi za mapato na matumizi ya biashara yako ni msingi wa mafanikio.
Zinakusaidia kupata mkopo wenye masharti nafuu na kukuza biashara kwa kuongeza bidhaa na huduma zako.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je, wajua
Huna haja ya kusubiri mshahara ili kutatua changamoto zako za kifedha!
@Softfinancetz tuna mkopo kwa waajiriwa dhamana ikiwa salary slip miezi 3 na kitu kisichohamishika unapata mpaka 10M
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Je, wajua
Kiwanja, gari au nyumba ni dhamana zinazokuwezesha kupata mkopo wa biashara ukapanua wigo huduma zako hadi kuwafikia wateja wengi zaidi!
Usikae kinyonge changamkia fursa hii, @softfinance tunakamilisha mchakato ndani ya dakika 45 tu.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi