Usitafute kuwa na mali kwanza , tafakari ni kwann unahitaji hyo mali ina umuhimu gani kwako na kwa wale wanaokuzunguka ,ndipo uitafute mali hyo kulingana na sababu zako kuntu.
#do the first things first
Watanzania wenzangu! Taarifa kuwa kuna msaidizi wangu mwingine ametekwa au kushikiliwa na Polisi si za kweli hata kidogo! Sina msaidizi mwingine, wala ndugu, wala jamaa au rafiki anayeshikiliwa na Polisi mbali ya Jerome Luanda. Puuzeni taarifa hiyo!
Chama Cha Mapinduzi kimeibuka Kidedea katika Vijiji 12,260 sawa na Aslimia 99.9, pia kimeshinda katika Mitaa 4263 sawa na Asilimia 100, huku kikijinyakulia Vitongoji 63,970 sawa na Asilimia 99.4. Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa
Uko Single Na Hauna Familia Unannua Whitedent Ya 3000 Ya Kaz Gan???
Si Inaeza IkaExpire Ndani......
Nnua Ya Sh500 Kisha 2500 inayobaki Fanyia Mamb Mengne
Jifunze Kubalance Matumizi Kenge Wewe๐๐๐
@McinikaWaLamar@Msumari9@Nkololotz@McinikaWaLamar@rollymsouth