Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa hapa Ilazo Extension ikiwa katika uwanja wenye ukubwa wa Sqm 530. Ni nyumba ambayo Fence, security system, parking kubwa ya magari matatu, vyumba vitatu ambavyo vyote ni master, open kitchen, public toilet na store
Tupigie 0656488927
#LandLai
Je unahitaji kuishi na kuwekeza jijini Dodoma ? Tuambie unahitaji eneo gani na bajeti yako ni shilingi ngapi tukupe kiwanja kilicho na miundombinu na huduma zote za kijamii. Wasiliana nasi 0656 4889 27
#LandLai
We have a wide variety of apartments to choose from, all located in convenient locations close to all the best that Dodoma has to offer.
Whether you're looking for a cozy studio or a spacious 3-bedroom apartment, we have the perfect place for you.
Call us today 0656 4889 27
Kama upo nje ya Tanzania(diaspora) au nje ya Dodoma na unahitaji kiwanja basi usiwe na shaka juu ya hilo.
Sisi tutakushauri kulingana na uwekezaji unaotaka kuufanya iwe kwaajili ya makazi au biashara.
Karibu sana @landlai__investment tuwekeze pamoja🥂
#letsinvesttogether
I hope that on this Labour Day, all workers will be recognised and acknowledged for their dedication to their jobs and positive contributions to society.
Without employees like you, the nation won't be able to shine. I hope you have a fantastic Labour Day.
#letsinvesttogether
KUWA MOJA YA WAWEKEZAJI MKONZE JIJINI DODOMA.
Ni eneo amabalo lipo km 9 kutoka Dodoma mjini na viwanja hivi vipo karibu kabisa na barabara inayoelekea Iringa
#Letsinvesttogether#viwanjadodoma
So since its inspection weekend which of our projects are you touring?
Welcome to @landlai__investment and let’s invest together.
#letsinvesttogether#viwanjadodoma
Je unapenda kumiliki kiwanja cha makazi au biashara kilicho karibu na barabara? Kilichopimwa na kuthibitishwa na mamlaka ya jiji la Dodoma!
Karibu @landlai__investment tuwekeze pamoja.
#letsinvesttogether
VIWANJA VINAUZWA NJEDENGWA INVESTMENT AREA.
SIFA ZAKE
Vyote ni vya kwanza kutoka barabara ya Lami (barabara za ndani)
Vinafaa kwa lodge, Hotel, Apartment au nyumba za Makazi
Umeme, barabara, Maji yapo na huduma zote za kijamii
0656488927
0620649030
#letsinvesttogether
The benefits of investing in real estate are numerous. With well-chosen assets, investors can enjoy predictable cash flow, excellent returns, tax advantages, and diversification—and it's possible to leverage real estate to build wealth.
#letsinvesttogether
KUWA MOJA YA WAWEKEZAJI MKONZE JIJINI DODOMA.
Mkonze ni moja ya maeneo yaliyokaa kimkakati na kujengeka kwa haraka.
Ni eneo amabalo lipo km 9 kutoka Dodoma mjini na karibu kabisa na barabara inayoelekea Iringa.
Wekeza sasa kwa 12,000Tsh/Sqm
#Letsinvesttogether