Yaani siku hizi ukisema tu angalau utetee binadamu wenzio na kuwaambia watawala hili sio sawa kesho yake nyumbani kwenu watu wanavaa tshirt za (2Timotheo 4:7). Trying times indeed 🇹🇿
“Bwana atakufungulia hazina yake njema, mbingu, ili kuinyeshea nchi yako mvua kwa wakati wake na kuibariki kazi yote ya mikono yako.”
Kumbukumbu la Torati 28:12