Ofcourse kuna watu nilikuwa na doubt uwezo wa akili zao toka zamani, ila nikawapa benefit of the doubt….
Yanayoendelea currently yame-confirm mawazo yangu…
Again, you don’t have to associate yourself with people who are dumber than you just to prove you’re smart
For Tanzanians abroad, there isn’t much we can do at the moment but let’s keep on spreading awareness on what’s happening on the ground and pray and fast for our country.
@nyamimary Tunarudi pale pale, this is not a sexual act na haina uhusiano na swala la mke wa mtu. As a matter of fact ni heshima mke wa mtu kuzaa na kunyonyesha mtoto. Washikilie nyege zao huko.
@YourFrenchFry@nyamimary Mi naonaga upuuzi kujaribu kumwelezea mtu hili swala! Watu wajue tu mtoto wangu akilia ana njaa hata kama nipo manzese darajani ntatoa ziwa na kumnyonyesha! Stara yangu ni kuhakikisha nafanya hitaji la mtoto wangu na sio kukufanya wewe uwe comformtable.
Bongo flava muda huu ni kama graduation ya la 7 shule ya kata enzi zile, kila ngonjera ina stepu….. wazazi nao wamechoka wanataka mtoe hivyo vyeti watu wakagawane maandazi waliobeba wasepe home.