Anaitwa Dawson Dominic Mwesiga, umri miaka 25 mkazi wa mbezi beach ila iyo siku 29Oct alitoka home akaenda ubungo. Hosp zote hayupo, vituo vya police hayupo, tunasubiria siku 40 walizotoa serikali zikipita kama hatujampata basi tutafanya ibada. Mwenye taarifa please tuwasiliane