Pongezi nyingi kwa wanafunzi wetu, walimu na staff wote. Kwa kuwa darasa la kwanza kabisa la A - Level kwenye shule yetu wamejitahidi sana.
Karibu Eloni Schools;
- Eloni Daycare
- Eloni Pre & Primary School
- Eloni Secondary School
- Eloni High School
Heri kwako na kwa wapendwa wako, Heri kwa familia na mali zako, Heri kwa uchumi na malengo yako, Heri kwa afya na imani yako, Heri kwa matunda ya jitihada zako na yale Mungu aliyoweka mbele yako na bado hujayajua, 2026 ikawe Heri. #SKM
1. Daycare
2. Nursery
3. Primary School
Eloni Pre and Primary School
Usaili kwa Darasa la kwanza na kwa watoto wa Daycare (kuanzia miaka 2) upo wazi piga - 0686944776
Website - https://t.co/dKJKz9wE9A
Eloni Pharmacy - ARUSHA Customer Service week.
-------------
Wiki ya Huduma kwa wateja, Eloni Pharmacy - ARUSHA
--------------
Jibu letu kwa swali la Eloni Pharmacy - BABATI.
#Eloni_Pharmacy | https://t.co/dKJKz9wE9A
Kitu pekee cha uhakika kwenye biashara ukiacha siku mbaya, ni siku mbaya zaidi. Ukiacha kukosa usingizi ni kuupata na kushindwa kulala, kupata chakula na kushindwa kula. Biashara ni ngumu mno.
Hivyo tunamuomba Mungu kama ni hatma yetu kuanguka; basi atupe anguko lenye staha kwetu na la kutunza utu wetu. Na kama ni hatma yetu kufanikiwa zaidi atupe mafanikio tunayoyamudu wajibu wake na yenye baraka kwetu. Kwa kutambua vyote viwili vinaweza vikawa na majuto ndani yake.
Shule Ya Msingi Kagongo - Kigoma.
Hapa ndipo nilipoanzia elimu ya msingi.
----------------------------------
Kagongo Primary School
Where I started my Education.