Ni mwendo wa kupora maeneo tu!
Rais alimega eneo la vijijini na kuhamishia mbugani, hiyo haijatosha;
Sasa anataka kuchukua ardhi ya vijiji vya wamasai kabisa;
1. Bila Kusikiliza wanakijiji
2. Bila Kutoa sababu
3. Bila kufuata utaratibu
Hawa watu kutosheka huwa hawawezi?
@PolycarpMDM Taaluma ya Utabibu Africa inakua kwa kasi nzuri. Ni vyema serikali za Africa zikawekeza zaidi, katika tafiti na uboreshaji wa vifaa na uvumbuzi wa vifaa tiba kutoka Africa. Aidha, kutengeneza muundo wa huduma za afya wenye tija kwa wananchi masikini.
@OleMtetezi Huu ni uchochezi na upotoshaji. Mradi una profile yake na ukubwa wake. Hiyo ni station moja, bado network nzima ya bomba na vifaa vingine. Ni zaidi ya hapo. Acheni ujinga.
@thomasjkibwana@Methu25 Mambo yabkujiuliza ni mengi, lakini ukiyatafakari katika vitendo, yanaweza kukuletea wazimu. Maumbile mkinzano na ufanisi wa matendo maovu kwa hali ile no ngumu.
@Sisimizi3 Tunaipenda CCM, neno "Msomi" liondoe hapo. Wasomi ninwengi nchi hii malaki. Ondoa hilo neno hapo, kwa sababu ndani ya jimbo waliosoma kuliko yeye ni wengi.
2. CCM, inapinga vikali rushwa, katika uchaguzi na shughuli zingine za kichama. Sisi tunapendwa, wagombea wana hoja. Basi.
@ibnhisa_@Patriot_S_A Good, at least she understands her limits and that she has nothing left to do. Although she could quit school and try something else. But she chose something more efficient and important.
@BrendaRupia Huu ujinga wa kuchafua familia za viongozi zinazidi kushika kasi. Uzushi, Uongo, na unafiki vimetawala akili za wengi. Hizi mbegu, zitazaa matunda ya chuki na hasira ambazo hazina msingi wa kweli. Futa huu ujinga.
@Phbhimself Kwanini nitarajie hilo? Nimepata elimu kwa uliyoandika, nimeona jinsi unavyotaka waTz warudi katika misingi ya imani.
Lakini, lazima tuseme wazi kuwa kuna wajinga wanatikisa misingi kwa nguvu kubwa. Hii sio kitu ya usiku mmoja. Misingi ya dini ipo, ishu ni kuwaweka hadharani.
@grok@MakekaMotale@bliss_fred_@Ithurts42 But the chef was stubbed from the back, suggesting rather a suprise attack. I think the old woman is a the one. Since she can fight she attacked by suprise. The struggle you are suggesting would have resulted in stabbing in the abdomen cavity, or chest cavity.