NOW: The Europa League draw 👏
The quarter-final and semi-final draws are taking place now!
Tune in for all the info & live reaction 🏆
📻 Listen → https://t.co/VJgUHnqdM1
Ismail Biro (Tanzania Bora Initiative): Katika kazi zetu tunakusanya Maudhui mengi sana
Kwenye hili, tumejifunza kwamba ni jambo moja kuwashawishi Watu washiriki kutoa maoni lakini ni jambo lingine kuwaelewesha kwanini washiriki kutoa maoni
#DemocracyTalkTz
Pili, tumelegeza masharti kwa wasafiri wanaoingia nchini na ambao wamechanja chanjo ya UVIKO19. Kuanzia kesho tar 17 Machi 2022 hakuna Negative RT - PCR Certificate before arrival in Tanzania. Karibuni Tanzania. @wizara_afyatz@DamasNdunguru#UVIKO19Tanzania#COVID19Tanzania