Ndoa na mtu asiyefaa ni zaidi ya balaa! Maumivu ya kuolewa na mtu asiyekufaa ni makubwa zaidi kuliko hofu yako ya sasa ya kutoolewa ama kutooa.
Ndoa sio ushindani. Usiingie kwenye ndoa kwa kuwa baba na mama wanataka, kwa kuwa ndugu wanakushinikiza. Wakutaka uoe ama uolewe.
KUTOKA MAKTABA 📚
UZI
MJUE TEMBO ALIYE HUKUMIWA KUNYONGWA👇
Tembo huyu aliitwa MARY alizaliwa mwaka 1894 huko Asia na alihukumiwa Kifo 13/9/1916 akiwa na Miaka 22 huko TENNESSEE nchini Marekani baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Mtu mmoja katika maonyesho 👇
Our Family Fur-st Pet Food Pantry is tomorrow from 8-10 a.m. Pet owners in need of food welcome while supplies last! ❤️🐾
If you would like to help, please donate through the Animal Assistance League of Orange County's Amazon Wishlist at: https://t.co/hkwEKEjLzx
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): amesema “Mwenye kupenda kwa ajili ya Allah na kuchukia kwa ajili ya Allah, na kutoa kwa ajili ya Allah na kuzuia kwa ajili ya Allah, hakika yeye atakuwa amekamilisha Imani yake”. 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
JUMAA MAGBOOL
It's #NapDay and what could be better than a meow-tain of sleeping orange tabbies?! 😻🧡
These transitional babies were caught snuggling with each other before they left to their loving foster home! Checkout our Wishlist to donate to kittens in need! https://t.co/Wz7Q5vcpGS
Nahisi kama meneja analetea watu wengine hasira za stress za mambo yake ya kifamilia 😰🙆🏽♂️... STAFU wa Discount Centre episode 1 link below
https://t.co/cdWfBr9dPk
SHE WITNESSED HER DOOM'S DAY BEFORE TIME 💔
Sio rahisi dunia kukupa chaguo la mitihani unayotakiwa kupitia, pengine kuna wakati dunia inakupa mafunzo ambayo hukuwahi kuwaza wala kutamani kujifunza.
Zaidi mitihani hiyo hujui uzoefu wake utautumia wapi
T H R E A D 👇🏼