An Educational Officer.
A Member of Haki Elimu.
A Political and Social Welfare Analyst's.
A Leadership skills advisor
A Democratic and justice believers.
@shaffihdauda1 Wampange tena jumapili ili aweze kurefresh flan hv halaf pia wamuweke kibwana mkamiajiii aweze kuona mpira ulivyoendelea maana ana muda mref sana toka amecheza pale yanga
@mreno255 Shule sasa imeshaisha hiyo sababu unaweza kujikuta Ticha yupo Ofisini anajiimbia kawimbo kale Afande nlegezeee kamba... Halafu dogo anaingia kuomba chaki. Oyaaa sikiaaa πππ
@ReganTesla_ Ndoa maranyingi huwa haina gharama kwa wale wenza ishu inaanzaga kwa Ndugu, wazazi na Marafiki na marazote Marafiki huwa wanaibuka washindi kwenye maeneo yote hasa maandalizi,na dharula za hapa na pale.