@mangekimambi Mi nadhani kwa mtazamo wangu CHADEMA wako sahihi kwa kuisema kauli hiyo, hawajakataa maandamano kwasababu yapo kisheria ila wanachokikataa ni wao kuhusishwa na maandamano ambayo yamepangwa na wananchi na siyo chama. Chadema wanakwepa mtego wa wadhalimu ambao wanawinda kuwafuta.