Nimetimiza miaka 34 leo 🎂
Kama hunifahamu na wewe ni mgeni hapa, nimeitumia siku hii kutafakari mambo yote yaliyotokea maishani mwangu: ushindi, changamoto na hasara.
Haya ni mafunzo na imani 33 kutoka maishani mwangu hadi sasa 🧵👇🏾
#TBT Nani anaamini kwamba kuna wakati nilikuwa nacheza mpira bila viatu? 😄
Vijana, msiruhusu changamoto za leo kuwa kikwazo cha ndoto zenu. Mnapoanzia si lazima paamue mtakapofika.
Fanyeni kazi kwa bidii na daima mtangulizeni Mwenyezi Mungu mbele. #africanyouth#MoTivation
🚨 Michael Carrick confirmed he won’t resign: “It’s not going to happen”.
“We haven’t won enough games but I expect to keep working, tighten up on things and win football games”.
🚨💣 Manchester United consider Michael Carrick position at serious risk after two internal meetings taking place today.
Review still ongoing waiting on final decision but Carrick’s job has never been so much under threat, as @JamieJackson___ called.
Internal talks continue also on potential options as realistic replacement being discussed.