Utalaumu mfumo mpaka lini?
Dunia hii ya utandawazi hili ni swali jepesi mno.
Shule binafsi zipo
Mitandao ya kijamii ipo
Unaweza kufungua tuition centre
Unaijua @MtabeApp ?
Unaweza kuwa mwalimu binafsi (private tutoring)
Kikubwa kuwa mbunifu na uonyeshe uwezo wako pesa itakujia
Given Edward, the visionary Founder of MTABE, leveraging emerging technologies to revolutionize learning experiences and empower students. He will pitch his innovative solutions this Demo Day!
#EdTechInnovation#DemoDay#StartupPitching
@MtabeApp na CROWN MEDIA tumeanzisha ushirikiano mpya unaolenga kuimarisha elimu na kuwainua vijana na waalimu nchini Tanzania.
Ushirikiano huu utatoa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la @MtabeApp na matangazo ya TV na redio za CROWN MEDIA, inayofikia watazamaji katika Afrika Mashariki.
Kupitia ushirikiano huu, waalimu wataweza kupata kipato kwa kushiriki ujuzi wao na wanafunzi kupata rasilimali bora za kitaaluma.
CEO wa CROWN MEDIA @AidanCharlie ambaye aliwakilishwa na Chief Operations Officer Bw. Apollo Temu (aliyevaa miwani) , na Mtendaji Mkuu wa Mtabe, @GIVENALITY , wana matumaini makubwa kuwa ushirikiano huu utasaidia vijana kugundua na kukuza ujuzi wao kwa mafanikio.
MTABE HAPA NI NYUMBANI #HapaNiNyumbani #MtabeXCrownMedia
Tumefurahi kutembelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa kwenye eneo letu ndani ya JNICC katika Tanzania Annual ICT Conference.
Tunashukuru kwa maoni yake na muongozo aliotoa kuhusu huduma za Mtabe 📚
In commemoration of Nyerere Day, we reflect on his view on the importance of education in the development and growth of a society.
Happy Nyerere Day 🇹🇿
Jinsi ya Kucopy Kwenye Microsoft Word.
📹📚Kozi nzima ya Microsoft inapatikana kupitia https://t.co/qW4hlSSshP. Ni vipindi 15 vya video, na vyote ni 10,000 TZS
Kwa masaa 12 yajayo, Mtabe ina ofa kwa ajili yako:
Kozi utakazoweza kununua kwa bei hii ya leo ni:
⁃Jifunze Kiingereza - nenda https://t.co/LrD0sOc1A3
⁃Microsoft Excel - nenda https://t.co/2T43uYx7D7
⁃Microsoft Word - nenda https://t.co/PmlgHJIrdv
Karibu 🚀
Umeshapata cheti chako ya Microsoft Excel? 🔥
Tembelea https://t.co/Zh7Qu1QIET uanze kusoma kusoma Excel kwa mfumo wa video ukifundishwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Kozi nzima ni shilingi elfu 10 TU. Baada ya hapo, kozi ni yako milele.
Njia kadhaa za kumalizia ujumbe wako unapoandika email.
🔗Kozi nzima ya kiingereza inapatikana kupitia https://t.co/oX0fICU9gs
Kozi yote ni 10,000, ina videos 15 na imeandaliwa kwa ajili ya mtu anayeanza kujifunza kiingereza mwanzo kabisa.