Hapa ni MPANDA KATAVI.
Mkoa ambao miaka miwili nyuma WALINIOKOA na kutoka kwenye Mbuga yenye wanyama wakali (MBUGA YA KATAVI).
Walinilinda siku zote 2 nilizokuwa nimelazwa kwenye hospitali yao (WanaCHADEMA).
Leo wamepokea Makamu mwenyekiti HECHE ambae amebeba injiri ya kuhubiri HAKI za ndugu zetu wanaotekwa na waliouliwa kikatili MO29.
CHADEMA ndio chama pekee nchini kinacholia na watanzania wanaolia, KATAVI mpanda ni watu ambao wameumizwa sana na hawa wakoloni weusi-leo ilikuwa zamu yao kupokea IBADA YA HAKI.
Hii nyomi inaongea namna ambavyo watanzania wamechoka na wanataka MABADILIKO.
Hongera mpanda kwa IBADA NJEMA YA HAKI LEO.
REPOST 200
#FreeTunduLissu
#katibaMpyaFreeTunduLissu
Leo Azam Tv wanaonesha mechi zote za Ligi kuu Tanzania bara tena zinachezwa muda mmoja saa 10 jioni.
Baadae wataonesha Mechi za Kombe la Dunia usiku kucha na vipindi vingine vitaendelea kama kawaida.
Huu uwekezaji sio powa aisee ๐
Ukiwa mdogo huenda usione kila alichopitia baba yako. Lakini siku moja utaelewa kuwa alibeba mizigo mingi kimya kimya ili familia yenu isimame. Hata kama nyumbani hamkuwa wakamilifu.
Happy Fatherโs Day kwa baba wote. ๐
Unakutana na JITU linaumizwa na sisi tunaofurahia TANZANIA kunyimwa pesa za misaadaโila haliumizwi na WATANZANIA kupigwa RISASI za vichwa na familia kwa maelfu nchi mzima kunyimwa miili ya ndugu zao kuenda kuzika na kumaliza MISIBA.
Hizo pesa zenyewe zikija si ndio wakina ABDULI wananunulia MAGARI ya mabilioni? Lini zimekuwa na msaada kwako wewe mtanzania?
Tunastahili KUTENGWA NA DUNIA kwa ukatili tuliofanyiwa na WAKOLONI WEUSI.
Walifanya yote haya GIZANI wakijua watabaki salama kiko wapi?