@SamuelMjomba5 Aboo kwadeda momu ghwapo. County government idimishe waisanga. Ndedikunde kuteselwa, dekunda barabara, sibtali rikate na rikaie na resources plus man power, elimu ifwane, wusalama, Machi ghielie ghenywa,mazingira ghiboie ghebonya biashara na wuongozi ghwa loli ghusena kiwiwi.
@TaitaDictionary Silaumu vijana nalaumu viongozi wenye wamefanya maisha ikakua magumu. Kijana hali zake binafsi zinamshinda akiwa peke yake, akioa je? Hakuna mtu anapenda aibu.
@MwandawaJimmie@aintdoneyet118@TaitaDictionary This is the things we want to hear. Kama mndu walemwa ni kazi uinge usighe iwi widimaa wibonye kazi. Ndedikaia nanyuma Kila siku kwa wujinga ghwa wandu watini.
@TaitaDictionary@TaitaTales Mila zetu hizi. Very proud Taita. Tukichukua uongozi lazima hii vitu itambulike na ioatiwe uzito na heshima yake inavyostahili.