@Thereal_taivina@15billiongame Samehe 7 x 70, upokeapo msamaha huu, nijulishe ili niondoe hoja mezani.
NB: mtaa una njaa ndo maana ya makasiriko bila sababu mdau
@riffatfl28 Utawakusanya waende kwa Imani ya kupata pesa for free, badala watakuta na malipo ya hapa na pale ilimradi tu wao ndo wawe chanzo cha pesa, ndo maana huelekezi lolote la maana zaidi ya kutamanisha ili waje