@barakawamb Wewe ni mwanachama wa Chadema ? Heshima ipi unayoizungumzia ambayo imepotea Chadema itisha mkutano Leo na wao waitishe kesho eneo Moja Alafu pima heshima Yao kama imepungua
@Kilwafinest Msuguano na kutofautiana kwenye chama ni dalili ya kukua ndio maana hata vyama vikongwe migogoro ipo na wengine kutoka na kuanza vyama vipya kwa haraka nakumbuka Malema alihama ANC akaanzisha EFF auuu