Hapa hakuna timu ya mpira wa miguu .!
Hii ni mechi ya 6 kwa mashindano yote kama sikosei lakini ukiangalia utasema imepanda daraja halafu wamecheza mechi 50 tayari
Wamechoka
Hawapo fit
Kimbinu wapo vibaya sana
Kiufundi ndio huruma
Waoga
Wavivu
Everything bad tunacho sisi
@RevocatusMagum1 Umesema wajumbe wa Upande wa 51% wanaumia na matokeo halafu hawataki kujiuzulu Wala hawaongei chochote
Binafsi sijawahi ona mtu anakumnatia matatizo
Wapo kwa sababu ya maslahi Yao na wanayapata hawawezi kuacha pesa kwa ajili ya maumivu ya watu wengine