@cindaramadhan@SouthernBuses@munyamambogo Wengine hawalali tatizo, amefika asubuhi bado anataka ashinde macho. Ila pia ikiwezekana wanaweza kujipa gap la mkoa kwa mkoa wanabadilishana na siyo masaa nane
@munyamambogo Kipindi cha nyuma latra ilikuwa inakamata mabasi yanayokimbia kupita kiasi yanapopita vituo vya ukaguzi. Wadau wakalalamika, serikali ikasikiliza wadau (mafanyabiashara) badala ya sheria zake. Walikuwa wanakamata hata kama lilikimbia mkoa mwingine, ukidakwa ni mpaka ulipe.
@royalmediatz Vilikuwa vyama vya upinzani mkaja na Tanzania ya kijani ambapo mnajiamulia wapinzani washinde majimbo mangapi au tuwape viti maalumu vingapi. Kwahiyo Tatizo mmelileta wenyewe