@EduTalkTz Sijui kwanini mnachukulia biashara na uwekezaji kama kitu rahisi sana? Kifupi hili eneo ni gumu na linataka maarifa makubwa sana... kumbukeni USA pamoja na elimu na maarifa waliyonayo lkn 70% ya biashara zinakufa,, sasa fikilia Wajamaa wa Tz,, 99% zina fails
@EdwinMjeru Nguzo za mafanikio
1. Knowledge
2. Skills
3. Networks
4.resources
5.reputation
Nje ya hapa utakuwa unapata hela ya kula tu...huwezi pata mafanikio ya kutisha
@fbuyobe Maisha yangekuwa marahisi namna anavosema mtaka, kila mtu angekuwa tajili. Biashara is very complicated and undefined. Mchanganua wa hao kuku 100 mpaka upate faida sio mrahisi, kuna uwezekano pia ukaferi akababki mmoja na madeni mengi. Uhondo wa ngoma ingia ucheze
@Jambotv_@ChademaTZ2 Yesu akiwa Bustani ya Gethsemane, 'Baba yangu, ikiwa yawezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.'" — Mathayo 26:39. Mnyika Iman imetoweka anamuonea huruma mwenyeki wake,,, Mungu atume Malaika wamtie nguvu.
@ErickKamihanda Tafiti kutoka kwa wasimamizi wa masoko katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa sehemu kubwa ya wafanyabiashara wadogo (retail traders) hupata hasara kwa muda mrefu. Hiyo haimaanishi hakuna wanaofanikiwa, bali wanaofanikiwa ni wachache na mara nyingi huchukua miaka kujenga ujuzi
@DanfordTun96400 Linda afya kadiri unavoweza, lkn kumbuka kwamba kuna mambo yako nje ya uwezo wako muachie Mungu, ishi kila siku kwa furaha uwezevyo. Mwili wa binadamu ni miraculous machine. Lolote linaweza kukutokea hata uishi kwa uangalifu kiasi chote.
@eastafricatv Mataifa ya Africa yana nini? Imagine kila mtu anatamani kuzamia ulaya, imagine Morocco ina maendeleo makubwa lkn bado raia wake wanataka kwenda Spain. Viongozi wa Africa acheni ubinafsi, jifunzeni kwa wenzenu, mbona hatusukii waspain wakitamani kuja Africa kuishi?
@Jambotv_ Huku ni kudhalilisha hadhi ya Elimu, msomi wa kiwango hiki anacherea kusifia dictatorship regime,,,yaani pamoja na shule yake kaona mfano wa Kagame ndio wa kuigwa, kashindwa kusaiti hata nchi ambazo zina mfumo wa demokrasia na zina maendeleo endelevu? Hili tatizo
@InnocentJLS Tanzania ni nchi yenye kila kitu kinachotakiwa ili nchi iendelee. Tatizo kubwa ni moja tuna upungufu wa human resource pekee au human capital.
@IAmHaule Umeeleza vizuri, lakin umesahau kueleza changamoto kubwa nizipi? Tatizo lipo kwenye aina za vifaranga au mifugo na aina ya chakula. Kuna chakula ukiwapa vifaranga wa interchic wanakufa au hawakui lkn ukiwapa vifaranga wengine wanakua...hapo ndio challenge
@Aruatani Ni kosa kisheria, kuambukiza watu kwa makusudi ikiwa unajua kwamba una VVU.. ikithibitika Dotto atashtakiwa na wote aliotembea nao watatoa ushahidi. Adhabu ni kifungo na kulipa fidia
@EngMapundajr Hii inaitwa rapid test for antibodies, baada ya kupima , itabidi usubili siku 90 upime tena ndio majibu yanakuwa sahihi. Labda utumie antigen p23, Fourth generation au tumia Pcr test kwa uhakika zaidi.
@TheChanzo Credit ratings na assessment za mikopo kupitia bank ni vigumu sana kwa wajasiliamali ku pass . Hata kausha damu wengi hawawezi, wanachopigania ni collateral tu. Only 1% of the population ndio credit worthy and potential.
@royalmediatz USD milioni 5.34 kwa km.
Kwa viwango vya dunia:
Reli ya SGR kwenye maeneo tambarare: USD milioni 4–7 kwa km
Maeneo yenye milima, madaraja mengi na handaki: USD milioni 8–15 kwa km
Miradi migumu sana yenye handaki nyingi (kama Alps au Japan): inaweza kufika USD milioni 20–100+ km
@PunditParadox Aristotle
"The state comes into existence for the sake of life and continues to exist for the sake of the good life."
Usalama na amani,Haki na utawala wa sheria,Elimu bora,Afya bora,Fursa za ajira na uchumi,Ulinzi wa makundi yaliyo katika mazingir magumu,Miundombinu na huduma
@ayubu_madenge Huu ndio mfumo sasa tunautaka. Nchi imesheheni watu wenye weredi mkubwa, mifumo ipo imara, hata wakibadilika mia Nchi inasonga mbele vizuri. Viongozi wakizingua wananchi wana react through votes...hongeren UK hakika nyinyi ni baba qa Demokrasia
@MabalaMakengeza Hakuna mwanachuo asiyejua kiingereza. Angesema kiingereza fasaha.... lakini kiingereza kinaeleweka na kinasomeka vizuri,, sasa wangefanyaje mitihani yao???
Wanafunzi wekeni jitihada ku improve Lugha ya kiingereza.