Kesho Juni 27, 2026 Naibu Waziri Mkuu wa @ACTwazalendo, Ndugu Luhaga Mpina atakuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya ACTWASO yatakayofanyika katika ukumbi wa Hakainde Hichilema; Jengo la Maalim Seif Jijini DSM.
#TaifaLaWote#MaslahiYaWote
With Prof. Verne Harris, Executive Consultant at the @NelsonMandela Foundation. Verne who served in the Truth and Reconciliation Commission and as Personal Assistant to President Mandela shared with us his perspectives on African leadership approaches to national dialogue; pan-African perspectives on political mediation and conflict transformation; and how senior political leadership can champion reconciliation while maintaining democratic legitimacy.
#Democracy
#Reconciliation
#Justice
#Accountability
"Kati ya kila Shilingi 1,000 za bajeti ya Serikali mwaka 2026/27, Shilingi 120 zinaenda kwenye ruzuku, Shilingi 310 zinaenda kwenye matumizi ya serikali, Shilingi 240 zinaenda kulipa deni la serikali, na huku Shilingi 330 pekee zikienda kwenye uwekezaji wa moja kwa moja wa miradi ya maendeleo."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo
Luhaga Mpina
#NaSasa2026Tena #UchambuziWaBajeti
"Misafara ya viongozi wa serikali ndani na nje ya nchi imekuwa mikubwa mno. Mathalani mwaka huu 2026/27 serikali imepanga kutumia zaidi trilioni 1.3 kwa safari za viongozi."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo
Luhaga Mpina
#NaSasa2026Tena#UchambuziWaBajeti
"Mwaka wa jana Uganda wameuza nje kahawa za thamani ya USD Bilioni 2.6, lakini sisi ambao tuna mara tatu ya ardhi inayolima kahawa kuliko Uganda, tumepata kama USD Milioni 150."
Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo@zittokabwe#TaifaLaWote#MaslahiYaWote
Jana usiku tarehe 20 Mei 2026, Msaidi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa David Jumbe alitekwa na baadae alifanikiwa kuwatoroka watekaji akiwa na pingu mkononi baada ya Bodaboda kufukuzia gari la watekaji.
Ameumizwa sana.
Whats’up @rioferdy5
You are most welcome to our beautiful country, Tanzania. A country rich in natural resources, yet its people are wretchedly poor and do not benefit from the resources in their own country.
Tanzania is the literal definition of the resource curse. Those who brought you here, will show you our God-given natural wealth, but they won’t show you how poor ordinary Tanzanians are.
Those who brought you here can’t tell you the other side of the crimes against humanity they deliberately committed against citizens who decided to protest to oppose the electoral process.
Security forces in Tanzania utilized disproportionate, deadly violence to quell post-election unrest, causing deaths and injuries to non-protesting citizens. Completely uninvolved individuals.
They are concealing the fact that on October 29, 2025, they intentionally shot and killed several people, among whom were seven youths from the Viral Scout Management football academy.
In a poignant post on its verified X handle, the sports consultancy firm based in Dar es Salaam mourned the heartbreaking deaths of seven rising football stars, while firmly issuing a call for justice.
Viral Scout Management has confirmed the tragic loss of seven of its young football players, who died during the widespread violent clashes that broke out after Tanzania’s disputed general election.
These promising athletes lost their lives to senseless violence within their own homes. It is a profound tragedy to see such bright futures cut short by such brutal acts. It’s unacceptable.
Tragically, there have been instances where Manchester United fans were brutally killed, including one documented case where mortuary photographs showed a victim still wearing a vintage SHARP jersey.
Even back in your neck of the woods, whether in Camberwell, South London, or up in Manchester, United Kingdom, people don’t get shot and killed just for protesting a fraudulent election.
Last week, your hosts brought Didier Drogba and paraded him everywhere. Now it’s your turn. They’ll likely parade you around just as much all in an attempt to launder their global reputation.
Log this information, RIO.
"Sisi tunaelewa kabisa! Mifumo ya uchaguzi ni ya hovyo. Tunajua kuna kura feki! Tunajua polisi wanatumiwa na CCM. Tunajua hatupambani na CCM; tunapambana dola. Ila hatutasusa, kwani tumejifunza kilichotokea Zanzibar"
Mwenyekiti wa @NgomeyaVijana@abdulnondo2
Oktoba #LindaKura
"Safari hii tutatangazwa watake wasitake! Wabunge wa upinzani huenda bungeni kwa nguvu ya ulinzi wa kura. Kupiga kura ni haki, na kulinda kura pia ni haki."
Naibu Mwenezi wa @ACTwazalendo
@shangwe__ayo
Oktoba #LindaKura