@PMadeleka Kwani tofauti na wanachosoma wanasheria wa Kenya na Tanzania ni nini?
Mbona Kenya wanasheria wake na mahakama zake zimenyooka sana na wako radhi kumgomea hata raisi wao kama haki haijatendeka mfano walikataa mkataba wa US na Kenya wa Afya nadhani.
Why bongoland miyeyusho?
@kudrah_ally@EduTalkTz Wenzanko SUA hawakitambui,ipo UDSM na Muhimbili tu kimataifa au kwenye ranks.Umeshindwa kuelewa au yake yale Elimu yetu mbovu hata mambo madogo huwezi kuelewa?
@godbless_lema Shida inakuja hapo kwenye kushiriki uchaguzi
Huu ndio umekuwa mtego mkubwa kwa vyama vya upinzani,japo wanajua hawataambulia kitu kwenye uchaguzi lakini swala la kugomea imekuwa shida
ACT waungane na CHADEMA,bila reforms waache kushiriki uchaguzi.Ya nini watu kuuana for nothing
@Jambotv_ Kijani wana polisi,wakurugenzi,waalimu,mwenyekiti wao anachagua viongozi wa tume ya uchaguzi,wana maDC,wana maRC ,wana mgambo. Hakuna jinsi kijani itashinwa uchaguzi bila mabadiriko.
Binafsi bil mabadiriko kupiga kura itakuwa ngumu sana,bora niendelee kubet-maigizo sitaki.
@nulphin Tatizo na nyie mnaochukua na kuposti na ku repost, hivi mnajua ile Sheria inakata kote kote? Mnatoa promotion. Tukianza kumtafuta aliyepost na aliyeendeleza naye atatafutwa tu. Tujue engineering ya sheria zetu
Hawa wachina baadae wataingia kwenye mfumo na kutawala Afrika.Miaka 50 mbele utashangaa kuona wachina wapo kwenye uongozi serikalini.
Wamekuja wengi hapa na nawazaa watoto wao na wazawa ili watawale Afrika kirahisi.
@IAMartin_@swahilitimes Sasa comment hivi wewe kama Mtikila.
Kesho tu defender kama kumi hivi ziko nyumbani kwako.
Maisha ya kiafrika ya kinafiki sana.
@TunduALissu Mungu akutie nguvu mh.Sisi wapenda haki tunatamani kuona mabadiriko makubwa kwenye utawala wa nchi hii.
Tunatamani kusiwe na ubaguzi wowote wa kichama.
Leo hii wanachama wa chama flani wanawatukana viongozi wa upinzani na wanaachiwa,lakini wangefanya vyama vingine wanakamatwa!!
@HecheJohn Tunahitaji mabadiriko makubwa kwenye nchi hii,
Tunahitaji bunge imara
Tunahitaji katiba mpya na vyeo vya kupeana vifutwe.
Chadema ni tumaini la watanzania
No reforms no elections,hakuna haja ya kushiriki uchaguzi wa maigizo.
Tutawaunga mkono.