@iamFallacy life expenses zimekuwa juu sana napia hii campaign wangefanya mkoa kwa mkoa ifikie watu uko vijijini ndo kuna mashabiki lia lia tatzo town mashabiki maneno mtu unakuta nishabiki ila hana jersey ata ya msimu mmoja aliyonunua
@Gaspinho15 arusha watu wameekewa ile mind set kuwa kitu expensive ndo original mfano iphone 13plain 128gb boxed dar ni 850,000 arusha ni 1M lakini mteja yuko tayar kutoa iyo 1M kisa aliambiwa za dar ni fake wakati wafanya biashara wa arusha wanachukua kariakoo.. watu wameuziwa mindset tu🫡
@cleansheet_1@Irene4803 izo ni special order customized.. ni kama mabus tu ukiangazia we ndo unasema utengenezewe vipi iweje na seat zikaaje.. sasa ni same kwenye simu mtu anatoa extra fee kutengenezewa anayotaka but system zinakuwa same kila kitu ila nje body ndo inakuwa tofauti
@eastafricatv Samahani hii taarifa ina fundisha nini jamiii. sasa hii ni habari ya kitaifa, kimataifa au burudani na michezo kwa nini mnakuwa wepesi kureport vitu visivyo na msingi kuliko vitu vya msingi.. aya moral ya hii habari ni watu wakitaka talaka wadai mitandaoni😒😒
@Mziwanda98 ukiachana na serikali kuekea vikwazo wawekezaji wazawa, waTz tunakunjiana sana hatupendi kuona wenzetu wakifanikiwa, ujiulizi familia inaeza kuwa na mtu tajiri but hawezi saidia ndugu unavyoona utajiri wakina Mo ni wa familia mtu anapambana akiwa ana focus na kizazi kijacho
@Kaponda_077 Uncle shida kubwa ni uwe na watu wakuwachezesha maana unaeza fungua duka ila winga wa kuwa chezesha kuwapa zoezi ukakosa.. kabla ujaanza tafta channel ya watu wa kuwachezesha kwanza