Pablo Escobar alikamatwa punde baada ya kumpigia mkewe,Drug lord El chapo alikamatwa baada ya kufanya mawasiliano na manzi yake, Leo El mancho inatambulika location yake baada ya kufanya mawasiliano na bebe yake .Vipi Adamu na Eva, John na jane au Father Sam na Delila.UMAKINI ✊🏿.
FIKIRIA ,Vipi wanandoa tungewaweka kwenye TIME CHAMBER,muda urudi then umchague partner wako tena,wangapi wangepita side hii👉🏾 wangapi wangemchagua JUSTIN BIEBER NA JAY Z !!!!? Qn: UPENDO HIVI NI HAJA AU MATENDO?.
@dizastavina 🙌🏿