Mzee Jakaya analazimisha tu lakini moyoni anajua kuwa Mungu hapendi kinachoendelea na wanachokifanya. Enewei wacha tuone mwisho wa huyo Samuya. #SisiTutaongea
@TonnyBis@Chahali Kaka issue sio kuguswa moja kwa moja. Mfumo una namna ya kumcontain mtu ili asiongee. Kwani unahisi hao waliokimya ni wasafi? Do you really believe kwamba hawajui injustice wakiiona? "Birds of a Feather Fly Together"
@TonnyBis@Chahali Gwajima na Polepole wote walianza kuongea kabla ya kuguswa. Hata hivyo, wameonyesha tofauti kubwa na Watanzania waliowengi. Kusimama front na kuongoza mapambano na kuhatarisha maisha yao huku Watanzania waliowengi wakibaki kutukana tu
@lifeofmshaba@TunduALissu Kaka....
Hao sio watu dhaifu, kesi yenyewe haina Miguu wala kichwa. My good guess; that is the best they could do with what they have😂😂
Hii ni mikutano miwili kati ya Mikutano zaidi ya 160 niliyozunguka nchi nzima kuhubiri injili na kuwajenga wananchi katika kuipenda nchi yao. #TanzaniaNiYetuSote#TanzaniaKwanza