Na siku Mungu atakapokuinua kweli…
haitakuwa kwa sababu uli-force watu wakupende au wakukubali.
Itakuwa kwa sababu muda wake umefika, na hakuna mtu ataweza kuzuia kile ambacho Mungu ameandika kwenye maisha yako.
Stop stressing about what’s next. God already has it handled. Your job isn’t to figure everything out; just be faithful where you are. The assignment you’re on now is preparing you for the next one. God is working behind the scenes, aligning details and opening doors.
🚨 Sir Alex Ferguson on Mateus Fernandes:
“Manchester United don’t need to waste £80M-£100M on Baleba or Elliot Anderson when a player like Mateus Fernandes is available. He has the aggression, composure, work-rate and personality needed to play at Old Trafford.
With West Ham now relegated to the Championship, his price will drop significantly. Smart clubs take advantage of moments like this.”
Ili kuinuka kwenye maisha unahitaji watu,
Na kuanguka kwenye maisha unahitaji watu.
Muombe sana Mungu akuchagulie watu sahihi.
Na watu sahihi Mungu atakupa ukiwa sahihi.
#ElimuBure
Ikitokea RIZIKI ya mtu imepita kwako basi usijipe nafasi ya kama wewe ndio mtoa riziki
Riziki anatoa MUNGU karuhusu ipitie kwako mtu huyo aipate usijione wewe ndio mtoa Riziki
Moyo wa shukrani hubadili namna unavyoona maisha, badala ya kuona kilichopungua, unaanza kuona baraka zilizopo.
Katika kila pumzi, kila hatua, na kila siku mpya, kuna sababu ya kumshukuru Mungu 🙏🏼
Ukitaka hela zikuheshimu, anza kuheshimu muda, kazi na malengo yako.
Acha kuishi kwa mashindano ya kuonekana mbele za watu wakati ndani mfuko ni tupu.
Jenga maisha yako kimya kimya, pambana kimya kimya, ipo siku matokeo yataongea kwa niaba yako.
Good Morning Family