@SalimuIbwe@K255Leo Kaka kazi ya kukunja migongo,kukata na kupaka rangi hiyo hata la saba wanafanya wakipata mafunzo. Kwa kifupi kiwanda kama hicho hakipunguzi idadi ya wasomi kama mainjinia waliokosa ajira. Walete viwanda vya kuzalisha kuanzia malighafi hadi bidhaa ya mwisho
What baffles me is the way we can unite and come together through football but cannot unite and come together against our corrupt and evil governments.
@EliabuDanford Umaskini wetu ni wakutengenezwa na ni manufaa kwa wanaotuongoza ndio maana hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza haya. Pili ujinga pia nao ni wakutengeneza kwa sababu ni faida kwa wanasiasa.
@EliabuDanford Utofauti wa huku na huko ni kwamba wenzetu wanajari sana UHAI. Sisi huku bila hata sababu za msingi unakula chuma hatujali uhai/maisha kabisa ni kama tunaishi zaidi ya mara moja
@ZakayoMmbaga Kijana kahadithiwa na kaka yake kuhusu biashara ya watumwa,swali nikaulizwa mimi kipindi cha biashara ya utumwa wewe ulikuwa unajificha au ndio uliuzwa kuja huku😂😂.
Tunaiona Gen Z kama kizazi fulani korofi ila kuna hao waliozaliwa 2020 na kuendelea. Brain zao ni kama ziko configured kuwa kwenye “Question Mode”.
Mazungumzo yao yote ni maswali tu. Unaulizwa swali na mtoto wa miaka 3 ambalo wewe hukuweza kuliuliza ukiwa na miaka 20. Watasumbua
Hela za serikali zinaibiwa akila siku , serikali ipo kimya, watendaji wa serikali hawasemi chochote, mamlka zote mama hazijui kinachoendelea. Ripoti za CAG hazifanyiwi kazi miaka nenda rudi ila mmtengeneza kampeni za kutaka kujua hela za alizochangiwa chama cha upinzani ambazo pengine haziwezi hata kujenga daraja. Afrika nchi za ajabu sana. Brain rot that's in Africa is unbelievable indeed.
@mtondaabdallah Usichanganyikiwe kaka,watu hawatoi taarifa kamili. Kuna jamaa nilikuwa nafanya nae kazi. Yeye ada za watoto na mahitaji yote ya shule pamoja na mambo mengine ya maingi alikuwa anapewa na wazazi wake. Mshahara wake ulikuwa kuweka mafuta ya gari,kula bia na mabebe basi.
@mnazi36 Sijajua unasema njia ipi ila njia ya dar to mbeya sehemu kubwa ipo vizuri sana ni maeneo machache sana. Hii inahusisha na internet kwa mitandao ya simu