@Roma_Mkatoliki It’s true, activities zote anazofanya raisi kwa big coverage anashauriwa na Katibu Mkuu kiongozi, Mshauri Binafsi wa Raisi Pamoja na yule mshauri wa raisi wa masuala ya kisiasa, Hao ndo Unaweza kusema wanaongoza Hii nchi maana hata Mkeka wa Baraka la mawaziri Unasukwa na wao.
@EduTalkTz Mwalimu mmoja Kwa Kila SoMo, na ni miongoni mwa shule za Kata zinazosajili Wanafunzi wengi sana, Michepuo ya sayansi na art inakuwaga na darasa zaidi ya Moja, Na hiyo inapelekea Ufanisi mdogo Kwa Mwalimu Husika wa SoMo,Kiufupi hii shule hakuna Walimu wa kutosha.