Safari bila stress? Siri ni spea original kutoka Nkwabi Motors!
Hakuna drama barabarani ukitumia tairi, brake, na battery zetu original.
Kanyaga twende na Nkwabi Motors – sehemu pekee ya uhakika!
Piga simu: +255 673 095 809
Tufollow: @musankwabimotors
Usidharau Spark Plug!
Spark plug mbovu inaweza kusababisha:
• Gari kuwaka kwa shida
• Matumizi makubwa ya mafuta
• Kupungua kwa nguvu ya injini
• Kuathiri afya ya engine yako kabisa!
Badili spark plug zako kwa wakati — epuka gharama kubwa baadaye!
Tembelea Musa Nkwabi Motors
Je, unajua faida za kutumia air freshner kwenye gari lako?
Faida zake ni pamoja na:
•Kuondoa harufu mbaya
•Kuweka mazingira ya gari yako kuwa safi na ya kuvutia
•Utulivu ukiwa safarini
Tembelea Musa Nkwabi Motors ujipatie aina mbalimbali za air freshners zenye harufu nzuri
Faida 5 za kutumia Steering Wheel Cover
1️⃣ Huzuia usukani kuwa moto jua likiwaka
2️⃣ Huongeza mvuto wa ndani ya gari
3️⃣ Huongeza mshiko – mikono haitelezi
4️⃣ Hulinda usukani dhidi ya uchakavu
5️⃣ Hupunguza uchovu wa kushika hasa kwenye safari ndefuTembelea Musa Nkwabi Motors –
Ukifika Simiyu -Bariadi mjini, usiwaze sehemu ya service ya gari lako. Watembelee jamaa zetu @MusaNkwabiJr huduma zao ni za uhakika. Pia wanauza vifaa vyote vya magari.!