ALERT
👉TISS ya Diwani imegeuka kuwa kitengo cha propaganda cha Lumumba kwenye suala la wabunge wa covid 19 wa Meko
👉Jana Diwani amewasiliana na Bulaya usiku wa saa 5 na kumuambia wasiende kwenye kikao leo na Bulaya akawajulisha wenzake kwenye group lao jipya la wasapuu
Si walisema watu wanapiga tu kelele! Haya sasa Bensouda kapokea vitu officially..
Kuna yule DC wa Rorya anajiita Odunga yaani lazima aongezwe kwenye list maana anamiliki vikundi vya militia kama Intarahamwe
https://t.co/q55JuMUovw
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakuka kuwekeza Tanzania tena kukiwa na Rais mpuuzi na mwehu kama Meko.
Yaani unakuja kuwekeza nini? Hao Barrick tu wanakaribia kuchoka maana kila siku mnawaomba hela
2016- Tamisemi ilihamia Ofisi ya Rais
2017- Manunuzi yote yalihamia ofisi ya Rais
2017- Mikataba yote ya ujenzi wa miradi mikubwa 👉ofisi ya Rais
2018- ATCL ikahamia chini ya ofisi ya Rais
2020- TIC inahamia kwake
MWIZI HAWEZI KUCHOKA KUIBA MAANA NI ASILI YAKE WIZI WIZI WIZI
Aliyekuambia ukirudi kuripoti last week unauwawa ungekuwa historia!
👉 Meko hanaga rafiki uwe unaelewa ukiambiwa! Haya ulivyo boya umetorokea Marekani lakibi bado unawasiliana na watu wako wa TISS na linamba lako la US limeishia 2616
👉Next time ukionywa uwe unasikia we BABU
Joshua Ndege nilikuwa nakuambia hapa ukadhani natania! Haya sasa umemtumikia shetani kashindwa kuridhika wakakukamata siku ya uchaguzi kwa kufeli mishion yako ya makampuni yako feki
👉TanzaniaCovid19
👉NewsTzOlivia
👉AfricaTopNews
Kama siyo ofisa wa TISS mwenye namba 0715 403120
"Where there's a will, there's a way"
Penye dhamira, pana njia
Ndo maana sikati tamaa kamwe, maana najua njia itapatikana tu, ila inabidi kupambana mpk njia ionekane!
Mtu asikuite mnyonge, asitambe kakushinda, usikubali kupigwa bali PAMBANA!
#WenyeNchiWananchi#ChangeTanzania
ALERT
👉 Mashinji anatumika na CCM kuwasiliana na Bulaya kwa namba zake 0784315187 na 0757441130
👉Wana coordinate barua ya kupeleka majina isainiwe na Salum Mwalimu na majina yapelekwe NEC na yata printiwa kwenye gazette la serikali
👉@ChademaTz fukuza hii kenge haraka hamsikii
Yameshakuwa maisha yetu Mapya Kama wapinzani.
Ni Mwendo wa Vibegi,Nguo,mswaki na Passport.
Lolote linaweza Kutokea wakati wowote.
Wenyewe tunasema Zubaa Ujute au Popote Kambi.
Leo Nov. 10,2020 Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. @hanjenusrat , Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. @twahamwaipaya na wenzao 6, wanatimiza siku 120 Mahabusu - Gerezani, ambapo siku kama ya leo Julai 10,2020 walinyimwa dhamana.
Rufaa yao itasikilizwa kesho Nov. 11,2020 Mahakama Kuu Dodoma.
👉Huyu asifikiri sisi watoto. Demand and supply imbalances zinaanzia kwa producer👉supplier👉 consumer
👉kukiwa na scarcity kwa producer au ongezeka la gharama za uzalishaji ndilo lina trigger price! The lower the supply 👉the higher the demand hence HIGHER price
Iko ivo yaani
Shida ya Meko huwa anapenda kuteua watu wapumbavu kumzidi yeye ili awa control
👉Diwani umempa kazi ya kuiba kura
👉Kaifanya kwa ufasaha sana
👉Hakusoma kuwa bunge la vyama vingi kikatiba na kikanuni
👉Haya mko peke yenu bungeni-mnakwenda kuendesha bunge la vyama vingi kwa katiba