‼️MORE EVIDENCE OF CHRISTIAN PERSECUTION IN #Tanzania BY SAMIA SULUHU‼️
These Christians were praying peacefully at another church when the police descended in full gear with violence to assault them!
@UN_SPExperts
Blatant violation of @UN human rights charter on Freedom of Religion and Belief!
This is done by the EXPLICIT orders of Samia Suluhu
Kufahamu kipimo cha ujinga wetu ni hapa;
Watu wanawasha VPN kumpongeza aliyezima 𝕏
Waliozima 𝕏 wanawasha VPN kupongezana 𝕏
Watawala wanaogopa maoni ya watu wa 𝕏
Lakini, watawala wanatumia 𝕏 kutoa taarifa zao
Hapo ndipo shetani anashangaa na kuona aibu
Usiku wa maruweruwe....!
Nipo kitandani kila nilijitahidi kufumba macho nilale naona kile kichwa cha Kapombe.
Nikifumbua macho naona kadi nyekundu ya Kagoma.
Usiku utakuwa mrefu sana huu.
Ufunuo 2 :10
"Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka.
Sikiliza! Ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani;
nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi.
Muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uhai."
Ndugu zangu WATANZANIA, nimelazimika KUAMKA USIKU HUU WA SAA SABA, baada ya kuona huo MZAHA hapo 👇. Natoa WITO kwa kila MPENDA HAKI kujitoa iwezekanavyo ili HAKI ya BINTI WA YOMBO ipatikane. Mimi NIPO TAYARI, NIWEZESHENI.
😃😃 yaani mtu mzima unajipiga kifua kuwa ni mtumishi wa serikali na wakili alafu unapokea maelekezo kwa simu upige kura kinkuba? 🤣🤣
Msomi aliyekosa pride!
Mi hata nilipokuwa mtoto sikukubali kulazimishwa jambo ilikuwa lazima unieleze kwa nini nifanye jambo hata kama kitu kidogo kama vile kulala mapema 😂
We libaba lizima unapokea maagizo eti kura yako uumpe nani?
Please grow a backbone, mawakili wengine mnaangusha taaluma!
AMOS MAKALA ACHA KUTUMIA TAKUKURU KULAZIMISHA VIONGOZI WA CHADEMA KUHAMIA CCM.
Tunajua kuhusu vikao vyote vya Kumshawishi Edwin Mwaipaja ambaye ni Diwani mstaafu wa Kata ya Tabata Liwiti, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CHADEMA wilaya ya Kichama SEGEREA.
Mlimtafuta Kiongozi wetu wa CHADEMA kufanya naye maongezi ili ajiunge na CCM siku ya mkutano wenu mliofanya viwanja Shule ya msingi Liwiti siku Jumatatu ya tarehe 08 July 2024
Mkamtishia kuwa asipojiunga na CCM siku hiyo kuna kesi yake mnayo TAKUKURU hivyo mtahakikisha anakamatwa na Kufungwa.
Diwani mstaafu Edwin Mwaipaja alimtaarifu Katibu Mkuu John Mnyika na Mawakili wa CHADEMA kuhusu kikao chenu na vitisho mlivyompatia.
Jana na leo Edwin Mwaipaja anapigiwa na watu wanaojitambulisha kutoka ofisi za TAKUKURU,UPANGA kumtaka afike kwa mahojiano lakini cha Kushangaza wanamzuia asiende na Mawakili wake.
Wakili Dickson Mtata amepangwa na CHADEMA Taifa kuhakikisha Edwin Mwaipaja anakuwa na uwakilishi kwa mahojiano yoyote ya kisheria kwa TAKUKURU na Mahakamani kama kuna kesi kweli.
Sisi CHADEMA tunajiuliuza Kama Edwin Mwaipaja angekubali kuhamia CCM siku hiyo ndiyo angekuwa mtakatifu asiye na kesi,ila baada ya Kugoma kujiunga na CCM ndiyo amegeuka kuwa Shetani.
Huu ni mchezo mchafu na uhuni wa kutumia vyombo vya dola kulazimisha na kutishia watu kuhamia CCM.
Mwambieni Amos Makala tunajua kinachoendelea, aache huu mchezo haraka sana...!
Sasa turudi kwenye serious business!
Mawakili mlioko njiani kuelekea Dodoma tunaendelea kuwakumbusha
Achaneni na mamluki wa Dola kandamizi, maafisa vipenyo na makada - kura yenu ni kwa mtu mmoja tu - mpambanaji atakayepigania haki zenu na zetu 👇🏾
Boniface Anyisile Mwabukusi ✅
#VoteForMwabukusi ✅✅✅
😃
Ngoja niwaeleweshe wala wasitusumbue akili hawa
NI HIVI:
Kwa wabunge kuna
1️⃣ mshahara official kama mshahara
2️⃣ Posho za vikao ambayo haikuwa ndogo
Sasa hii taarifa ya bunge waeleze POSHO za vikao ni sh ngapi sasa na ilikuwa sh ngapi 2019 kwa mfano 😃
Wakijisahau wanakiri kuna ishu ya posho tena posho nono
Take- home ya mbunge ni sh ngapi? @BungeTanzania
#TutaelewanaTu
😭
This was last year (2022)
STILL @SuluhuSamia & govt torture the Maasai people
Confiscating and auctioning herds off
This suffering can end easily if we all #StandWithTheMaasai
Mnapata laana tu nyie madhulmat! Mnafukarisha maskini! Mnapiga mnada mifugo ya wamaasai kihuni!
Mafundisho ya kijamii ya kikatoliki yana misingi ya utu, umoja na ugatuzi wa maamuzi (subsidiarity - someni hapo chini maelezo yake)
Hakuna dini ambayo haigusi maisha ya waumini na kuwapa miongozo - hii hugusa maeneo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa
Kila mtu acheze nafasi yake!