Mwandishi pekee aliyesimama na watu anayefanya kazi kwa weledi. Siyo kama kama wale waandishi wanaopangiwa maswali ya kuuliza na vitu vya kuandika. @ThatBoyKhalifax apewe 🌹🌷🥀yake.
Watanzania, Lissu anasema tuongeze Moto!!!
Haki, napenda mind set ya Lissu. Yani he gets it. Kuwa ni lazma tupambane sio mambo ya lege lege.
Ila huyu kiumbe huyu, dah!!!! Mungu alimuumba Lissu specifically for this very moment!!!!!!!!!
CCM walitoa ahadi kwamba wataanzisha mchakato wa Katiba Mpya ndani ya siku 100 baada ya uchaguzi. Leo, zimepita siku 268, aliyekuwa mgombea mwenza wao anawataka Watanzania wapiganie Katiba Mpya. Binafsi nimejiuliza, kwanini wananchi wapambanie kitu ambacho chama chake kiliahidi kukitekeleza kwenye ilani yao ya uchaguzi? Je, tutakuwa tunakosea tukisema ilikuwa ahadi ya kitapeli?
Tulisema wakati wa kampeini, tutasimamia ahadi zetu kwa Watanzania.
Tutajenga taasisi ya kubadilisha Nchi hii na kuwapa Watanzania Nchi isiyo na upendeleo, ufisadi, rushwa kuoneana na kuumizana.
Tutahakikisha rasimali za Nchi yetu zinatumika kwaajili yetu sote sio kikundi kidogo cha watu.
#NoReformsNoElection
Kaka, Ahsante sana kwa hii heshma ila nimekaa chini na nimefikiria sana ubaya na uzuri wa mimi kupokea pesa za diaspora.
Ubaya ni kwamba nikipokea hizi pesa basi nimepoteza nguvu ya kumtetea Heche kuhusu michango ya tone tone maana watasema “Huyo Manga lazma amtetee Heche maana yeye mwenyewe anakula michango ya Diaspora” , sasa nitajikuta badala ya kumtetea Heche niko busy kujitetea mwenyewe. Na chochote nitachosema kumtetea Heche au Chadema kwenye swala la tone tone hakitokuwa na nguvu tena kwa wananchi. Yani utetezi wangu utakosa uzito.
So mimi naomba nikae mbali na michango ili niwe na authority ya kupambana na mbwa za Samia zinazotaka kumchafua Heche.
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
UONGOZI UNAOACHA ALAMA
Uongozi wa awamu ya tano uliacha alama. LAKINI njia zilizotumika kuacha alama, pia njia hizo ziliacha alama.
Unatakiwa uongozi unaoacha alama bila kutumia njia zinazoacha alama.
Mwachieni tu. Anazo alama za utawala ulioacha alama. Nimjuavyo, atafanya makosa yatakayopunguza umaarufu wake. Kumshikilia kunampaisha na kuwashusha wanaomshililia.
Mantiki ni hesabu hata kama si kila hesabu ni mantiki.
Kwa nia njema na uzalendo kwa taifa langu.
Mjaluo anasema, “Mwanamke anayemwomba Mungu ili apate mtoto, huwa halali akiwa amevaa jeans”.
GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote.
Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025.
Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
Kitila Mkumbo amenikumbusha kitabu cha Chinua Achebe (A Man of the People) wakati Waziri wa Utamaduni, Chief the Honourable M.A. Nanga, M.P. anasema “Teaching is a very noble profession”. Chief Nanga anatamka maneno hayo akifahamu ukweli ni kinyume chake. Anaisifu taaluma ya ualimu kwa misingi ya heshima lakini yeye ameacha ualimu na kuingia katika siasa na kuwa fisadi mkubwa. KITILA, kama UALIMU ungelikuwa unalipa kuliko SIASA usingeacha ualimu ili utafute UBUNGE na baadae WAZIRI. Ualimu ungelikuwa unalipa kuliko siasa usingeondoka UDSM. Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh380 Milioni baada ya kipindi cha miaka 5. Mwalimu gani analipwa mafao hayo akistaafu na miaka 55 au 60? Mwalimu gani anapata mshahara wa Sh22 Milioni kwa mwezi kama mbunge? @kitilam, profesa kuwa muongo hata haipendezi. We are experiencing a cultural and intellectual decline.
Ujumbe wa JUMUIA YA MADOLA unatakiwa kujadiliwa zaidi kuliko huo UPUMBAVU wenu wa "miaka 30 ya mama".
Jamaa wametoa siku 30 LISSU aachiwe.
Ujumbe ule ni mkubwa sana kuachwa upite hivi hivi.
JIHESHIMUNI.
Kuelekea Baraza kuu la kihistoria..
Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa.
Ushindi wetu uko karibu sana..
Msiogope, tutashinda.
Nina swali, wale wapuuzi waliokuwa wanapush maridhiano kati ya Watanzania na wauwaji wa CCM wana la kusema kwa sasa????
Wanaharakati tulipokuwa tunayakataa maridhiano tulijua wauwaji hawako tayari kwa maridhiano ya kweli, wanachotaka kwenye maridhiano ni legitimacy na uwezo wa kuwazodoa international community kwa kuwaambia, msituingilie sisi tumeshafanya Maridhiano na tume heal.