unlimited ๐โฆ
Ila kama ni kinyume chake (kwamba unahisi kila kitu) basi ni bongo moja la noma โ ๏ธ kwasababu ule mchakato kuanzia kufariki hadi unazikwa na baada ya kuzikwa ni mchakato wa kutisha โผ๏ธ
NB; Tuishi kwa upendo tuu, hatujui tupo mpaka lini. Good morning Familia ๐๐พโ๐พ
Ikiwa mtu akifikia hahisi chochote basi kifo ndio starehe kubwa zaidi kuwahi kuwepo.
Fikiria ukilala (ukiwa usingizini) vile una relax kama huna shida yoyote, no stress za maisha, no stress za mapenzi aaaah! ๐ Sasa hiyo raha ya usingizi ukifa unaipata daima yani inakuwaโฆโฆ
Leo saa sita usiku ule mwezi tuupendao mwezi wa kujichumia baraka tele kupitia rozari takatifu unaanza, wakristo wenzangu tusali kwa imani ili sote tufaidi baraka hizi @RadioMariaITA@AlesandroJR
Ndugu zako wako tayari kabisa kukupa hela, Ila wanasubiri ufe kwanza ili wagharamie msiba wako na huenda sababu ya kifo chako nikukosa 5k ya mseto utibu Malaria๐ tupendane tukiwa hai wakuu
๐Bidhaa bora za ujenzi zinapatikana kwetu,Tupo kariakoo Gerezani 0747283915
1: " Upendo ni kujitoa bila kutegemea malipo. Lakini ni bora ukipata upendo wa dhati kama malipo"โ
2:"Majadiliano ni bora kuliko mabishano". Kwasababu mnapobishana mnatafuta ninani yuko sahihi, ila mnapojadiliana mnatafuta ni kipi hakipo sahihi na kirekebishwe vipi.
@Savio4real@Captainpilo7 Hii ilianza zamani maana ukristo umekwepo kabla ya uislamu hata kwenye Quran kuna maandiko kabisa yanayohusu kuupinga ukristo na wakristo hivyo wamekaririshwa tangu zamani. Kwenye biblia hakuna sehemu kuna neno hata Islam au uislamu. Kama ipo naomba kurekebishwa
Awaken and conquer, hustlers! Every Tuesday is a new opportunity to chase your dreams and elevate your game. Stay focused, stay fierce, and let nothing hold you back. Your hard work today paves the way for tomorrowโs success! Letโs get it!