DAYS 138 OF 365
Kila mwaka kuna tarehe na mwezi wa Kifo chako unaipita ,Ila kuna siku hautaivuka tena !!โ ๐ข
โTukumbushane โtunaishi Mara moja tu no addition time ๐
Kuna ile time ukaribu wako na mwenyezi MUNGU unakuwaga kama umepungua Hivi hausali wala nini Ila mitikasi yako inanyooka vibaya mno
Oi huo mtego mzeee MUNGU anakupima kama unamuabudu kwa sababu unashida au unamuabudi kwasababu ye ni zaid ya kila kitu kwako โ
Kuna hii kasumba ya wasanii wakubwa kutumia โUPCOMING ARTISTโ kufanya challenge ya nyimbo zao kwa lengo la kufanya nao RMX and then mwisho wa siku wanakuja kufanya na wasanii wakubwa wenzao !! HII HAIJAKAA KIZAZI KABISA AISEE ๐ณ