Politician (Katibu UVCCM) DSM|
Marketing and PR Pioneer |
Tanzania institute of Accountancy alumni 2016|
kibasila High school and Jitegemee Sec|
Yanga Sc π|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishaji wa Tamko la Pamoja la Muafaka wa Kisiasa baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo, katika viwanja vya Ikulu Zanzibar tarehe 09 Julai, 2026.
Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar
Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:
1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.
2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.
3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.
4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.
5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.
6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.
7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.
Ninakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar kwa kufanya mazungumzo na kufikia maridhiano. Hii ni hatua muhimu inayozidi kuimarisha amani, umoja, utulivu na mshikamano miongoni mwa Watanzania. Maridhiano si ishara ya udhaifu bali ni alama ya ukomavu wa kisiasa unaoweka mbele maslahi ya Taifa badala ya maslahi ya vyama au ya mtu binafsi.
Wananchi hawahitaji vurugu wala mivutano ya kisiasa isiyoisha. Wanahitaji amani, usalama, huduma bora za kijamii, ukuaji wa fursa za kiuchumi na ajira. Ili kufanikisha hayo, serikali itaendelea kusimama imara katika kulinda usalama wa raia na mali zao, pamoja na kudumisha heshima na hadhi ya nchi yetu.
Kwa pamoja, tutafakari umuhimu wa maridhiano kama yanavyohimizwa pia katika vitabu vitakatifu:
Qur'ani Tukufu Sura Al-Hujurat 10: "Kwa hakika Waislamu wote ni ndugu; basi patanisheni baina ya ndugu zenu na mcheni Mwenyezi Mungu, (msipuuze jambo la kupatanisha) ili mrehemewe."
Biblia Takatifu β Mathayo 5:9: "Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu."
Mange anasema "michango n hela za wananchi we kula tu HECHE"
Wanaohoj wanaitwa wasaliti, wamehongwa na CCM.
Accoutability ipo wapi kwa Bwana HECHE
CDM naendesha kihuni sna kwahyo lile Kapu baada ya mkutano zote anaondka nalo anakwenda kuhesabia nyumban π
Heche kaulizwa matumizi na wajumbe wenzake wa Kamati kuu, tayari chawa wake wamemwaga mtandaoni kushambulia CCM, sasa sisi tupo kamati kuu? Sasa sisi ndio tumekula michango?
Maandamano yamefanikiwa. Maduka yote yamefungwa huku Sinza, biashara leo zitazorota, Matamko ya maandamano ndo yanaamua watu wakae ndani au watoke.
Sasa tutaishi hivi hadi lini, kwa hali hii uchumi utakuaje.
Watawala wajitafakari maana tutafanikiwa kutisha watu watatishika watakaa ndani sawa lkn ndo imesaidia?