IF YOU ARE 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28 or 29 years old
And you still DON’T KNOW what you’re doing with your life. Relax!
Most people haven’t figured everything out at this age.
We just start building these 12 things:
Ndege ya Kijeshi ya Sudan ilianguka ilipokuwa ikijaribu kutua Mashariki mwa nchi hiyo na kuwaua Wafanyakazi wote katika taifa hilo lililokumbwa na vita barani Afrika.
Ndege ya Mizigo ya Ilyushin Il-76 ilipata hitilafu ya kiufundi ilipokuwa ikijaribu kutua katika Kambi ya anga ya Osman Digna.
Lakini hawakufichua ni Wafanyakazi wangapi walikuwa kwenye Ndege hiyo
Miongoni mwa waliofariki ni Rubani wa Kijeshi Omran Mirghani, kwa mujibu wa Mjomba wake na mwanahabari maarufu wa Sudan Osman Mirghani.
Ajali za Ndege ni jambo la kawaida nchini Sudan, ambayo ina rekodi mbaya ya usalama wa anga. Mwezi Februari, takribani watu 46, wakiwemo Wanawake na Watoto, waliuawa wakati Ndege ya Kijeshi ilipoanguka katika eneo lenye watu wengi huko Omdurman.
#KitengeUpdates
🚨 Real Madrid considered Ibrahima Konate but inform Liverpool they have no interest in signing France int’l. 26yo’s unresolved #LFC contract situation could still go either way. That + loads more on Jan/summer markets in @TheAthleticFC Transfer Radar 2026 https://t.co/hD7lYaxpJt