@Jambotv_ Hawa nadhani kuna jambo kubwa tu nyuma yao. Wanaweza kuwa wabunge wa mahakama. Kama walivyokuwa Wale vit maalumu.
Hii movie sijui mwisho wake ukoje
Japo na wish wachukuliwe hatua mapema
@YerickoNyerereT Kwani amefukuzwa au ametenguliwa
Kwan leo mtu kutenguliwa ni udikteta
Mbona mmekuja na strategy ya kijinga sna
Kabla na hata baad ya uchaguzi mtapoteana
@Ntobi_ Kwani mamlaka y kuteua na kutengua ya nani ndani y chma?
Huo udikteta unatoka wap? Au kuna sheria anayo mtaka mtu aliyeteuliwa kukaa muda mfani ktk nafasi hyo.?
Kuteua na kutengua ni kazi ya mwenyekiti
Au kafukzwa uanachma?